Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Jabir Idrissa - Imechapwa 11 January 2012 DK. Willibrod Slaa amemtuhumu Rais Jakaya Kikwete kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoapa kuilinda. Akiongea na MwanaHALISI juzi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hii ndiyo kitu watanzania tunataka, huenda muswada wa marekebisho ya sheria mbali mbali hasa kuhusiana na sheria ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu ukakwama na kujadiliwa tena mwezi wa nne baada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni Wanajamiiforum? Nimekuwa nikifuatilia session ya jioni ya Bunge,kubwa likiwa ni mjadala wa mabadiliko ya sheria mbalimbali.Mchangiaji wa kwanza, baada ya hotuba ya kambi rasmi ya...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wale tuliokuwa tumeganda kwenye runinga kuona bunge la leo na kauli ya serikali tumekwama baada ya kwanza umeme kukatika halafu baada ya kuwasha generator letu tukakuta Star TV na TBC nao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee Wabunge vijana jana waliishambulia serikali wakisema imeweka vikwazo kwa vijana kupata ajira na kutoa upendeleo kwa wazee katika ajira nyingi za umma hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF kuna wakati naona huwa tunatumia vibaya uhuru wa kuongea tulio nao. NI mejaribu kuosma hii excerpt kutoka kwenye gazeti la Guardian Online version la tarehe 23 Januari. Mh mbunge John...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wiki mbili tangu mgomo wa Madaktari uanze, lawama nyingi zimekuwa zikirushwa kwa Madaktari wenyewe na zaidi kwa Serikali. Swali langu ni je kama ni dhambi ya kuua wataipata Madaktari na Serikali...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
MAONI YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA SHERIA NA KATIBA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.)KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI (NA. 2) YA MWAKA 2011...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Nimeshutushwa sana na tuhuma za mbunge wetu wa kuteuliwa Mama Gratruda Rwakatare kuhusu undani wake kutoka katika gazti la kufuatilia mambo ya watu Binafsi yaani ya Udaku yanayotoka Kila ijumaa...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Je kuna kuna data zozote ambazo tunaweza kupata kujua gharama na athari za mgomo ni kubwa kiasi gani. Nadhani imefika wakati tunahitaji kuanza kuongea na viongozi wetu kwa namba, na kuwashitaki na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kauli hii imetolewa na Zito kabwe bungeni muda si mrefu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Henry Banda mtoto wa rais wa zamani wa Zambia amekimbilia nchini Kenya kukwepa kukamatwa kwa ufisadi uliotokana na matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake. Je akina Ridhiwan hili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna kikao cha siri kimefanyika usiku huu na wabunge wa CCM wameazimia kumng'oa Waziri wa Afya. Si ajabu kesho tukiona wakimshinikiza kwa nguvu zote aachie ngazi. Wasiwasi wangu ni kuwa watatoa...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Hali ya uchumi ni mbaya zaidi na viongozi wetu wamekuwa wakitupa data zisozo na ukweli hata kidogo kuwa uchumi unakuwa vizuri. Tumeona serikali ikishindwa kukabiliana na mambo mengi ambayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madaktari watikisa Bunge • Serikali yalazimishwa kutoa maelezo na Waandishi wetu Tanzania Daima MGOMO wa madaktari umelitikisa Bunge ambapo sasa limetishia kutoendelea na shughuli...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau angalia ndo imeanza
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani mimi nafikiri kwa kuwa nyumba za shirika la nyumba ni mali ya umma kwa nini Bunge lisitunge sheria kwamba watumishi wa umma kama walimu na madaktari kisheria wakapewa kipaumbele kupangishwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninakosa imani na SPIKA na NAIBU wake kwakushindwa kulipa suala la mgomo wa madaktari kipaumbele na kuruhusu lijadiliwe na wabunge kama hoja ya dharura kutokana na sintofahamu ya tamko rasmi la...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Ninakosa imani na SPIKA na NAIBU wake kwakushindwa kulipa suala la mgomo wa madaktari kipaumbele na kuruhusu lijadiliwe na wabunge kama hoja ya dharura kutokana na sintofahamu ya tamko rasmi la...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…