1. Taarifa aliyoitoa Mwakyembe ya kutaka kuuliwa ilionesha gari za STK zikitumika na wauaji hao waliokodishwa.
2. Mwakyembe akiwa bungeni alisoma taarifa nusu na kuacha kipande kinach JK kuhusika...
Salaam wana JF! Naelewa mijadala juu ya huyo mmeru imeshakua mingi sana humu na nchini,hadi inachosha. Lakini naomba mimi nijikite katika upande mwingine wa shilingi. Huyu mzee anasemekana ana...
Wana jf wenzangu napenda kuwa taarifu kwamba jumatatu ya tarehe 6 ni siku ya kesi ya kupinga ubunge wa Lema na jaji Mujuzulu amijitoa kwenye kesi hiyo hakika mambo yamekuwa magumu kwa upande wa...
Wakuu kwa analysis ndogo ambayo nimeifanya nimegundua makundi matatu ya wafuasi wa CCM(magamba)
1.Vigogo wanao nufaika na rasilimali za nchi, haya majaa niyale kiujumla hayana uchungu na nchi...
Wabunge wa CCM jana walifanikiwa kuzinduka na kuwazidi kete wa CHADEMA dakika ya mwisho. Hali hiyo ilitokea wakati wa kupitishwa kwa muswada wa sheria ya fedha haramu. Aliyeokoa jahazi ni kada...
Originally published in the Guardian on 21 January 1964
The Guardian, Friday 20 January 2012
Article history
Waterfront in Zanzibar, Tanzania. Photograph: N Wheeler
Sultan...
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche, CCM wamepanga kuwa na kadi nyingi bandia za Chadema ambazo watu watapangwa wazirudishe wakati wa maadhimisho yao Mwanza ili ionekane wameivunja...
WanaJF,Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dodoma katika kambi ya wabunge wa CCM kwamba wana mpango wa kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya.Lengo kubwa inadaiwa hawajafurahishwa...
Sijatumwa na mtu kusema haya. Nimejituma mwenyewe. Hapo natoa jibu la post ya kwanza kutoka kwa mashabiki wa CDM. Wala sijapokea bahasha kama kauli mbiu yenu humu isemavyo.
Najua kuwa, Viongozi...
Kutoka chanzo cha kuaminika inasemekana mrithi wa mh Lowassa monduli ameshajulikana.mkurugenzi mstaafu wa kituo cha uwekezaji bwana emmanuel ole naiko.kwa wale mnaomfahamu tujuzeni habari za mtu...
Hii ndo Tanzania yetu jamani,sina hakika kama viongozi wazuri na wenye nia njema na nchi wamekwisha mpaka hawa waliopo wandelee kutesa kiasi hiki.Wamekua na dharau kwa sababu bado wanaendelea...
Mwezi uliopita kulikuwa na zoezi la kuhakiki wafanyakazi wa umma ktk sekta zote. Katika zoezi lile ambapo wahakiki walitoka hazina wamebaini madudu mengi. Imeonekana halmashauri nyingi zimekuwa...
Ndugu zangu wana JF ni vyema tuwekane sawa kwa jambo hiil ambalo sote kama WaTanzania yatupasa kulichukua kwa uzito wa aina yake na kisha kila mmoja kwa nafasi yake ama yeye mwenyewe kuchua hatua...
Nisihukumiwe ila ninahisi huyu mh kapotoka maana anawaasa wanachama wa ccm na vijana kulinda na kusimamia viapo vyao vya chama na kwa kufanya hivyo wanatakiwa kuonyesha hilo kwa kumchagua mgombea...
Kwa wanaofahamu mahusiano yalivyo hivi sasa kati ya JK na Lowassa tafadhari tujuzeni! Hiki kitu " kina special paramount" kujua ili kupima upepo wa namna hali itakavyokuwa ndani ya CCM katika...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha, imekumbwa na vurugu mjini hapa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kufuatia...
Kufuatia hoja aliyoiwasilisha Naibu Katibu mkuu wa CUF Ismail Jussa juu ya Serikali ya Muungano kupeleka maombi UN kuomba kuongezwa kilomita 200 kutoka ukanda wa bahari ya Tanzania. Wajumbe...
Wana JF,
Kesho wazee wa magamba wanaadhimisha miaka 35 ya umri wao, maadhimiso hayo yanafanyika Katika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza, kwa kuhofia kuaibika na kukosa watu wa kutosha, gari la...
CCM inahaa kujua ninani watamsimamisha ambaye atakuwa na mvuto kwa watanzania lakini bado hawajamuona maana wote hawauziki kwa watanzania kutokana na hali mbaya iliyopo kwa wananchi kwakukosa...