mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
CCM wakati ikiadhimisha miaka yake 35 ya kuwepo madarakani,vita baridi imekuwa ikiendelea Mikoani kuhusu uongozi na Mbio za Urais 2015..kwa hali isiyo ya kawaida Sasa Lukuvi ndo mlezi wa Chama mkoa wa Mara kwa kuwa wanaamini yeye hana kundi kwani CHAMA hicho kinazidi kupoteza kabisa Mvuto mkoani hapa..
Sambamba na Wabunge wengine kwenda wanalaumu mitandao ya kuweka viongozi ambapo Musoma mjini wanamuandaa ROSE Kirigini kugombea ubunge 2015 hata kama hatopitishwa KURA za Maoni,pili Makongoro NYERERE anatakiwa kuondoka Madarakani kwa kuwa ameendelea kuwa Karibu sana Uongozi wa CHADEMA mkoani Mara na amekuwa akifanya nao vikao vya SIRI(kwa mujibu wa Aliyekuwa mbunge wa Musoma mjini bwana Mathayo)
Pia Wasira anatuhumiwa Kumuandaa Mwanae(Kambarage)Kugombea jimbo la Bunda kwa tiketi ya CHADEMA ambapo wanamuona kama Msaliti,huku UVCCM bunda wakimpigia Chapuo Ester Bulaya(mbunge viti maalum)
Tarime pia wana CCM wanataka Mbunge Nyambari Nyangwine asipewe tena nafasi kwa kuwa ameonekana Kupwaya na badala yake nafasi Apewe Kangoye(dc Misungwi)
Serengeti Dr Stephen Kebwe yeye tyr mtandao wa kumtoa katika Kura za Maoni unaratibiwa na mwenyekiti wa Halmashauri ya Serengeti(Ngoina) akisaidiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya(Chandi) kuhakikisha aliyekuwa Mbunge wa Musoma Mjini kipindi kili0chopita bwana Mathayo Manyinyi anapeperusha Bendera uchaguzi ujao
Pia uenyekiti wa Mkoa(ccm) anapewa Christopher Mwita Gachuma kwa gharama yeyote ili kumdhibiti Makongoro kuingia NEC kwani amekuwa mwiba kwa Lowasa na akina Chenge.
Pia jaji werema akijiandaa Kukabiliana na Mkono Musoma Vijiji mbunge wa Rorya(Lameck Airo) yawezekaana akajivua uanachama na jimbo kubaki Wazi kwani amechoka na Majungu ya viongozi wake wa Wilaya na ametishiwa kupewa Sumu..
Hivyo kumaliza Mitafaruku wameona wamtume Lukuvi Mara akaokoe Jahazi na kurudiSha Haliya hewa vizuri kwani wanaaminiipoteza Mara watakuwa wameipoteza Tanzania..
Nawakilisha....