Kikao cha Pamoja, Dr slaa (Chadema) na Sam Ruhuza (NCCR) now! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha Pamoja, Dr slaa (Chadema) na Sam Ruhuza (NCCR) now!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bibikuku, Feb 6, 2012.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimepata taarifa kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa anaelekea kwenye ofisi za NCCR mageuzi kwa mazungumzo na katibu mwenzake Sam Ruhuza. Nafuatilia kujua kipi kinazungumzwa kati ya makatibu hao wawili then nitawaletea hapa jamvini soon!

  Updates:

  Taarifa ni kwamba CHADEMA na NCCR wamekubaliana kuungana na kusameheana katika kila jambo walilowahi kutendeana na wamekubaliana kushirikiana kuanzia sasa. Katika makubaliano hayo Mbatia amefuta kesi ya uchaguzi dhidi ya Halima Mdee kesi namba 101 ya mwaka 2010. Kuanzia sasa wamekubaliana kufanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuimarisha upinzani na kuhakikisha CCM inang'oka mwaka 2015. Makubaliano hayo yamesainiwa na DR Slaa na Sam Ruhuza katika ofisi za NCCR Mageuzi dakika chache zilizopita.
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Du: DR Yuko Busy sana, Majuzi hapa alikuwa Uzini Nasikia kamwaga sumu kali sana kule,
  Kabla ya hapo alikuwa Mbeya ambako alielezea waraka kutoka serikalini unaotaka kuzibiti
  wafanyakazi wa serikali wanaojihusisha na siasa, kabla ya hizi tena alitia timu Maskani yake
  ya ukweli Magogoni kuonana na Agent wake.

  This is the only busy General Secretary of all the political parties in Tanzania.
  Keep up the good work.

  Na hii event lazima Mhuza aweke kwenye resume/CV document yake
   
 3. j

  jigoku JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri utujuze
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ulitakiwa upandishe hii baada ya at least kupata substance!
  Akiishia hapo Magomeni utatuambia nini?
   
 5. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Angechelewa wangemuwahi wengine kuiweka hapa jamvini! Na yeye anataka kuwa wa kwanza!
   
 6. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Twasubiri updates toka kwako mkuu,piga kazi usirudi nyuma!
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya,...bora usiwe umbea
   
 8. e

  evoddy JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I don't think its true.
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  NCCR + CDM for 2015?

  NI mtazamo tu, msinipige mawe.
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Itapendeza sana
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  still LOADING.............
   
 12. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tunahitaji makamanda kadhaa toka nccr na wala si chama kuna kichwa kama Dr Sengondo Mvungi, mh. Machari, makamanda wa arusha nk. Mamluki wa ccm hatuwahitaji kama Mbatia
   
 13. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Taarifa ni kwamba CHADEMA na NCCR wamekubaliana kuungana na kusameheana katika kila jambo walilowahi kutendeana na wamekubaliana kushirikiana kuanzia sasa. Katika makubaliano hayo Mbatia amefuta kesi ya uchaguzi dhidi ya Halima Mdee kesi namba 101 ya mwaka 2010. Kuanzia sasa wamekubaliana kufanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuimarisha upinzani na kuhakikisha CCM inang'oka mwaka 2015. Makubaliano hayo yamesainiwa na DR Slaa na Sam Ruhuza katika ofisi za NCCR Mageuzi dakika chache zilizopita.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ngoja niamini hizi taarifa...ni jabo jema sana lakini mbatia ana mapenzi na magamba
   
 15. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nina hakika na ninachokifanya mkuu PJ
   
 16. k

  kwamagombe Senior Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ushirikano ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, mfano kwenye chaguzi mbaalimbali, ikitokea jimbo fulani kila mtu anataka kusimamisha mgombea inakuaje? waseme wanataka kushirikiana kwa lipi?
   
 17. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ondoa shaka Crashwise wanasiasa hubadilika kila dakika. Huenda leo Mbatia kauona wokovu
   
 18. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea
   
 19. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sijawahi kuongopa hapa jamvini, follow my history. Otherwise subiri runingani leo usiku ama magazetini kesho ili uamini
   
 20. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mtazamo wako ni mzuri!solidarity forever can work!
   
Loading...