Wabunge wa CCM wameingia mitini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM wameingia mitini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Feb 7, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  hadi sasa hivi ni mtu wa pili anaongea lakini viti bungeni vinaonekana vipo tupu. wabunge wa ccm waliopo hawazidi 20. ova
   
 2. m

  mareche JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  du mbona kazi mwaka huu
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  So what?
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wanamgomea mkubwa wao kisa amewadharau kwa kuwakubalia chadema na kufuta posho, mimi binafsi ningekuwa JK ningevunja bunge halafu wote waliokuwa wabunge wa CCM hawataruhusiwa kugombea tena ubunge kupitia CCM. ova
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  walishasain makaratasi ya posho asubuh.
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kaha, kwani kuna mjadala gani kwa sasa
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  dhambi waliyofanya mwaka jana kuupitisha mswada wakatiba ndiyo inawahukumu. Wanaogopa kula matapishi yao.
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Waliobaki mjengoni wanatosha kutoa sauti za NDIYOOOOOOOOO!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,441
  Likes Received: 11,294
  Trophy Points: 280
  posho ndogo bunge livunjwe
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Msiwe mnadanganya hata kwa vitu vinavyoonekana bana! wengi tunaangalia TV, wabunge wa CCM wako wengi mbona?
   
 11. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu wanatosha kabisa
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Viti vingi viko wazi. Wakuu mnadhani bila posho kuna tija ya kukaa bungeni!
   
 13. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la wabunge wa magamba ni kupongezana kwa anayekwiba na baadae akakamatwa akakubari kosa. Ujinga huu mpaka lini? Naona magamba wanapongezana kwa wizi ulofanywa na wawekezaji ktk gas. Ujinga huu. Dakika kumi pongezi na dakika tano kuchangia. Ujinga huo. Unampongeza ngereja kwa lipi hasa jamani? Magamba finito!!
   
 14. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uhuni mwingine wa ccm.
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,339
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  Wapiga meza wapo wa kutosha tu
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  hata zile meza hazisikiki zikipigwa. wanao piga meza ni kama watu wanne tu. halafu wengi walio hudhulia inaonekana ni wanawake. ova
   
 17. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  hao wengi umewaonaje wakati T.V inamuonyesha muongeaji na viti viwili vya nyuma.acha uongo
   
 18. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  zitto yupo.
   
 19. M

  MATATA2011 Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tujuzeni jamani wenzenu naona ving'amuzi vimegoma kuonyesha,ila inasikitisha sana kuona nchi hii inaenda mlama namna hii
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  mtu akisha lewa anaona watu wawili kama wapo sita. vaa miwani uangalie tena mkuu.
   
Loading...