Chadema kaa chonjo uzini zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kaa chonjo uzini zanzibar

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by saguge, Feb 7, 2012.

 1. s

  saguge Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zilizo nifikia za kuaminika ni kwamba ccm kuanzia juma tano wataanza kupita nyumba kwa nyumba wakigawa fedha.taarifa imepatikana katika kikao cha pamoja na mgombea wa ccm mohamedraza kilicho fanyika katika shehia ya mpapa.hii inawezekana kwa sababu jimbo la uzini lina wapiga kura 8000 na hivyo inawezekana kuwa honga wote.pamoja na mipango yao hiyo ya rushwa cuf nao badala ya kuomba kura wanaitukana chadema na juzi usiku walikuwa katika shehia ya umbuji wakigawa kanga.kuna tetesi kwamba kamanda mbowe na dr slaa wanaingia kuanzia ijumaa kuongeza nguvu.ukombozi ni sasa na chadema msikatishwe tamaa na watu ambao wamevaa miwani ya mbao na masikioni wameweka pamba na kwa bahati mbaya na wengine wamo humu jf kwa masikitiko makubwa mtu yeyote mwenye akili timamu haungi mkono magamba.haya wambea lete pumba au hoja!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Barubaru upo?
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tunazifahamu vimbwenga vya CCM hazitutishi. Wapiga kura wa uzini wanaelewa pumba ni ipi na mchele ni upi.
   
 4. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu taarifa hizi zisiachwe tu zikapita. Tanzania hii jamani, inaelekea kwenye shimo na tusipolitambua mapema, hakika kutumbukia kwetu hatutatoka kamwe.
  Chadema komboeni nchi hii, kwani msipofanya hivyo historia itawahukumu ninyi kuliko CCm wala chama kingine chochote
   
 5. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anakula haluwa
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu kichwa cha habari hii si kizuri hata kidogo. Ashakumu..... kisome taratibu uone kilivyo.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Hao ndio CUF

  View attachment 46939
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  CUF ni sawa na mfa maji asiyeisha kutapatapa! Hukumu itawashukia
   
 9. N

  Ndole JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ama kweli JF. hata mimi baada ya kukirudia taratiibu nimegundua siyo kizuri kabisa. Mleta uzi huu itabidi abadilishe maneno..
   
 10. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CMM,CUF Ziiiiiiiiiiii!
   
Loading...