Dola na CCM

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Majuzi katika kikao kimoja cha CCM mkoani Kigoma, watumishi wa serikalini wanaolipwa mishahara kupitia kodi zetu nao walishiriki. Hawa watumishi ni kutoka Takukuru, Tiss, mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya. Kimsingi si demokrasia kwa watumishi wa umma kutumika ktk shughuli za kisiasa. TUBADILIKE
 
Back
Top Bottom