Ndugu wananchi wa tanzania nichi yetu inaelekea wapi?tufanye nini na tuache kujiweka pembeni ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu wananchi wa tanzania nichi yetu inaelekea wapi?tufanye nini na tuache kujiweka pembeni !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Feb 7, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimekaa na kutafakari mambo mengi yanayokwenda mrama hapa nchini nikahisi pengine kila mmoja wetu anafikiri kuna mtu wa kuleta mabadiliko au neema nchi hii bila yeye kuhusika,ukweli ni kwamba wewe ni mhusika kwenye manyonge unayoona na werwe ni sehemu ya mabadiliko hivyo basi nakusii utafakari swala hili la nchi kutokuwa na mwelekeo chanya na kila siku jambo la kurudisha nchi nyuma kama mikataba mibovu,wizi wa mali za umma,keki ya taifa kufaidiwa na wachache,wombe la uongozi na hata nadiriki kusema tunaongozwa na viongozi wafu!
  Nikianzia kwangu kama mtandania nadhani swala la mgomo wa madaktari linamgusa kila mtun na je serikali inakaa kimya kwa lipi?Inasubri nini?
  TUUNGANE KUONESHA VIONGOZI WETU KUWA TUMECHOKA NA HALI HII!
  Naomba ushauri juu yA NAMNA ya kuungana na kuwakaripia viongozi wetu hasa juu ya kutoa maamuzi na sii maamuzi tu ila maamuzi yenye tija kwa taifa.
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ndugu ni kweli umesema ila nani aanzishe?

  Watanzania wote wamechoka.

  Wanaharakati wangetakiwa kuunganisha watanzania wote bila kujali itikadi.

  Mfumuko wa bei, uchumi kuyumba, vitu muhimu kupanda bei vinaathiri wote.

  Tanzania Hakuna wanaharakati
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sisi km raia wa kawaida tunahitaji mwongozo toka kwa wanamageuzi
   
Loading...