Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MashaJF, Jan 30, 2012.

 1. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sera ya umoja wa mataifa muda ukiisha shariti ujiuzuru ndo kafanya hivyo
   
 3. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CCM kwa jinsi ilivyo na hila utasikia wakimpitisha kugombea uraisi 2015 kwa kutumia ile sera yake ya jinsia ili kumkomesha EL, wasipofanya hivyo ujue wasema ni zamu ya Zenji; yani hapo watakuwa wamemkomesha EL kinoma.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  30th January 2012 17:58 izekomedijan3012.jpg

  ... darasani kule UDSM chaki ilinichosha na wenzangu wakaja wakanichomoa huko, kwenye siasa CCM yangu ndio hiyo nimerudi nikaikuta iko ICU, na kule UN nako ndio hivo Ki Moon naye kanipa Ban, sasa niende wapi mwenzenu - niingie tena kwenye kupigia upatu uongozi wa nchi nzima kweli?

  Haka, sitaki mbichi hizi za CCM; hadi hapa naona familia yangu ndio salama yangu; narudi nyumbani Matimila, Songea, kujiunga na nguvu kazi mimi.

   
 5. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Naomba uangalie hiyo katuni ndio uweke maneno
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CCM walivyo na akili za ajabu wataibuka na sasa ni zamu ya mwanamke...wehu kweli.
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hayo hapo je?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  ujio wa Migiro umewakasirisha membe sitta na lowasa kila mmoja anamwangalia mwenzake
   
 9. u

  utantambua JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo na Ban Kimon term yake ikiisha atajiuzuru? I smell deliberate argumentation derailment.
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tatizo CCM wanaijua nguvu ya Edo na wanajua kumzuia ni ngumu na kama wataweza wanajua Edo na kundi lake watawaunga mkono CDM, kama unakumbuka ile sera ya (Tushindwe ili tuheshimiane) CCM walio wengi ni waganga njaa, ambao wengi wanajua Mama Migiro hatawapa ulaji wowote, so itakuwa ni vigumu kwa wengi wa wakongwe kumpa shavu huyu mama kwani hakuna mwenye imani juu ya ulaji endapo huyu mama atapitishwa.
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nasikia JK alishaapa kuwa kamwe hatomwachia kiti mkristo!
   
 12. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mother ameshtuka kaona wenzie huku washaanza maandalizi mapema kwa ajili ya urais 2015, kisa cha yeye kushangaa UN nini? kaona bora nayeye aje abanane na kina EL, BM, 6
   
 13. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muda wake haukwisha. alitakiwa atumikie vipindi viwili ila kwa kuwa huko hakuna u-ccm kwamba lazima amalize ndiyo sababu wamemwaga baada ya kuchemsha!!
  In fact she was problem to her colleagues.
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... ni ukamilisho wa usemi wa Wahenga hapa kwamba ' Ng'ombe akivunjiko guu malishoni hujikongoja kurudi zizini kusaidiwa'.

  Asha-Rose Migiro sasa ni wakati wa kutafakari kiundani zaidi unachotaka kufanya katika maisha haya maana unafahamu fika kwamba licha ya kuwa na haki ya kugombea chochote kile hama home, mwenzetu huchaguliki hata kwa dawa wewe!!

  Ufafanuzi wangu pamoja na evidence kibao za kashfa huko UN inakusubiri 2015. Karibu nyubani hata hivo.
   
 15. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
 16. P

  PATALI Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajamaliza muda wake..kamwagwa baada ya kuchemsha!
   
 17. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa kuwa ccm wana sera yao ya kuwapa wanawake nafasi wanapoona kuwa atakayechukua nafasi iliyowazi hawamtaki lakini wananchi au wajumbe wa mkutano husika watamchagua humpa hiyo nafasi mwanamke
   
 18. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,686
  Likes Received: 21,950
  Trophy Points: 280
  Utendaji wake akiwa UN umepimwa ulikuwa wa kiwango gani?au ndio kama kawaida yetu mtu akifanya kazi mashirika ya kimataifa basi huyo anafaa tuu?
   
 19. K

  KUKU - HANUNI Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Senior Member, si wewe peke yako na baadhi ya members wengine pia, mmekuwa mkitoa hoja bila kufanya utafiti wa kina na wa ukweli, kwanza hii ni kawaida miaka yooote, tokea nipate fahamu zangu kuhusu chaguzi za kitaifa kuanzia Rais mpaka katibu kata, likitajwa jina la mtu yoyote wako watakaokubali na wako watakaoponda, hii si mbaya kila mtu na fahamu zake, na katika siasa kupondana ndio sera yao, Kumbuka Hilary Clinton alivyokuwa anamponda Obama, angalia marekani sasa hivi wagombea wa Republican wanavyopondana wenyewe kwa wenyewe, HIYO NDIO NAMNA YAO, lakini members wengi humu humkubali mtu hata hawamjui, na humponda mtu hata hawamjui, kama wewe senior expert member, naona kwa huyu mama Migiro hukuwa expert, umesema huyu mama arudi kwao matimila, huyu mama hatoki matimila, Songea alizaliwa tu, wala mumewe pia hatoka Songea, sasa fanya kazi yako upya, Members wengine pia wanaponda tu au wanasifia tu bila kufanya kazi kwa kina, Lowasa hafai, Membe Hafai, Slaa Hafai, Migiro Hafai, Sita hafai, je anaefaa ni NANI? na kwa sifa zipi? zielezeni na ziwe za kweli na maana msiseme msiyoyajua, kuparamia mambo ndio maana kesi nyingi zimekwama. :lol: :lol: :lol:
   
 20. K

  KUKU - HANUNI Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Premium Member: Upimwaji wa kazi za Migiro huko UN unataka upimwe nani? nadhani umeona kwenye vyombo vya habari (magazei kama ni msomaji) wakinukuu kauli ya mwenyewe Ban Ki Moon kuhusu utendaji wa kazi wa huyu mama Migiro, wakati alipokutana na waandishi wa habari waliotoka pande mbali mbali za dunia, kama una mashaka UN iko wazi wasiliana nao halafu toa hoja yako.
   
Loading...