Kampuni za simu hawalipi kodi-Kafulila

February

Member
Nov 15, 2011
90
21
Mbunge machachali wa kigoma kusini ameipiga serikali kwamba ina ugonjwa wa kutokusanya kodi hasa kwenye kampuni za simu ilhali sekta ya mawasiliano ndio sekta inayokua kwa kasi kuliko zote nchini.

Inakuwa kwa asilimia 20. Jumla ya watanzania milioni 22 wanamiliki simu lakini mchango wa kamppuni za simu katika kodi ni kidogo sana.

Alifafanunua kuwa tatizo serikali imegoma kununua mtambo ambao unarekodi matumizi ya simu ili kila mwisho wa mwezi serikali iprint doc kuonesha mapato ya kila kampuni na kutumia taarifa hizo kujua kodi halisi ambayo makampuni haya yanapaswa kulipa.

Tofauti na sasa ambapo TRA wanakokotoa kiasi cha kodi kwa kutumia vitabu vya kampuni za simu kujua kodi na hivyo kutoa mwanya kwa makampuni haya kudanganya. Source habarileo na nipashe
 
Haaaaa waende kukusanya kwenye madini,uranium inaweza kurun bajeti ya serikali kwa mda wa zaidi ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom