Mwanaidi Majaar ni Mwanzilishi wa Chadema

..Maajar wa enzi hizo wakati CDM inaanzishwa siyo huyu wa sasa.

..Balali naye alikuwa anaheshimika sana kabla hajaunda ushirika wa kifisadi na CCM.

..wengi sana wamepoteza heshima zao kwa kujichanganya na magamba.
 
ndivyo walivyotaka kumharibu Zitto! Sijui dogo amechomokaje!
 
Ina Maana wengi Hamkujua Mpaka Mbowe alipokuja USA na kuwahutubia kuwa CHADEMA SIO CHAMA CHA KICHAGGA na SIO CHA KIKRISTO sasa mnaanza kuandika... lakini kwenye katiba lipo pia Jina Lake...

Mmeamshwa Sasa eh??Mmmm
 
Huyu mama Mwanasheria ndiyo muanzilishi wa CDM? ana roho nzuri sana alinisaidia Uingereza pale ubalozini.
 
CCM inamuhitaji huyu mama Maajar na sio yeye kuihitaji ccm!! Membe alipotaka kumletea za kuleta akiwa High commissioner U.K. akamwambia mkweree kuwa anataka kurudi nyumbani kuendelea na law firm yake ; ikabidi wambembeleze ndio kumpeleka Washington lakini huyo NYOKA WA MDIMU alifikiria mama ni push over hakujua kuwa ni kisiki cha mpingo!! Wanajuana na mkweree toka enzi za DUSO mlimani enzi hizo.
 
Back
Top Bottom