Kampeni Jimbo La Uzini: CCM Yaelemewa na Kasi ya CHADEMA, yaanza vitisho kama Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni Jimbo La Uzini: CCM Yaelemewa na Kasi ya CHADEMA, yaanza vitisho kama Igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Idimulwa, Feb 9, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshima mbele,

  Taarifa za uhakika kutoka Uzini zinaarifu kuwa CHADEMA imeliteka jimbo hilo,makundi ya watu kuanzia watoto,vijana,akina mama na wazee wanaunga mkono cdm,alama za V na neno pipooos vimetawala na wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano.CCM imebanwa na imeanza vitisho,ikiwamo kuorodhesha majina ya wakaazi wote wanaotoka bara nakuwatishia kuwa cdm ikishinda watafukuzwa Zanzibar ikumbukwe kuwa jimbo la uzini linamchaganyiko wa makabila kadhaa toka bara kama wasukuma,wanyamwezi nk na zoez hili linafanywa na mashea ambao kwa bara ni sawa na watendaji wa kata na wanaheshimika sana kule visiwani,wamekuwa wakiingia kwenye miji ya watu na kuwaamuru watoe vitambulisho vyao vya kupigia kura wananchi kutoka maeneo kadhaa kama GHANA na MIWANI wamekuwa wakienda kulalamikia hali hii kwa viongozi wa cdm,shea mmoja toka eneo la miwani alikiri kupata maelekezo ya kukusanya shahadda toka kwa viongozi wa juu wa ccm baada ya kufuatwa na makamanda baada kumpoka raia mmoja kitambulisho ajabu shea huyo alitoa pia utetezi ambao uliwaacha midomo wazi makamanda kuwa kamnyanga'nya kitambulisho yule raia kwakuwa ni MLEVI.Taarifa zaidi za kiintelejensia zinaarifu kuwa kuwa tayari kikosi kimoja cha usalama kimepewa maelekezo kuwakamata na kuwaweka ndani wanaounga mkono mabadiliko ili wasiweze kupiga kura siku ya uchaguzi.

  Nawasilisha.
   
 2. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nilipita tu hapa. nimetoka kuangalia matokeo nimefeli ila narudi hivi punde tu!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  ccm ndio kawaida yao.uzini wameshaipoteza tayari
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ndiyo maana mi nashauri tuweke udini pembeni,tumng'oe our common enemy,CCM...
  Chama chenye nia thabiti ya kuondoa umasikini,na kupunguza matumizi holela ya kodi za wananchi,kwa kipindi ama zama hizi,ni CDM...
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  usije ukafeli na hapa..
   
 6. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pole mkuu, hiki kisomo cha utu uzima ni noma sana, ulipiga ile program ya miaka miwili ama? Usikate tamaa mkuu endelea kupambana.
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wataweza kutukamata,kutuua,kutunyanyasa,kutupiga nk...Lakini hawawezi kuzuia mabadiliko.
   
 8. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uzushi usio na kichwa wala miguu, hujui hata kutunga taarifa, rudi shule huenda wewe ukawa miongoni mwa 48% ya waliotuaibisha kwenye mitihani ya necta 2011.
   
 9. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM wanadhuriwa na maradhi yao sasa! Wao si ndio waliwapatia Vitambulisho vya ukaazi hao WANDENGEREKO na WAMASAI hadi kutoka Msumbiji (hata ambao hawakua na sifa ya kupata ZAN ID na kuwakosesha Raia halali ambao mpaka vitovu vya Babu zao wa 5 nyuma vimezikwa ndani ya ardhi ya Zanzibar) kwa kudhani wanawakomoa CUF! Sasa ngoma imewageuka. Wacha yawafike Kofi la kujipiga hilo; hawatakiwi kulia kulia
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yale yale chadema anaanza kutengeneza sababu za kushindwa.

  Ritz alishabainisha kuwa mkishinda Uzini tu yeye atatembea uchi toka Posta mpaka Bonyokwa tena mchana kweupeeeeeeeee.
  Je mtaweza na kuthubutu?

  yetu macho,
  acha kulalama pambana mpaka damu ya mwisho.
   
 11. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona kila kitu we unafeli unaweza nini sasa? angalia usijefeli na humu ndani
   
 12. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Usikate tamaa,..... ..... kufeili sio kufa!, ila mtafute Mwanaasha Jakaya Kikwete mpange namna ya kurudia mtihani. Naomba upite na Uzine kama ulivyopita hapa
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Safi sana makamanda!!!
   
 14. T

  Tata JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280

  Hivi kumbe kuna Wamasai wa kutoka Msumbiji? Hii ni elimu mpya kwangu.
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh!:A S embarassed:
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  .ritz na barubaru nyie ote ni wazandiki
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280

  Huyo mtu wako hapo kwenye bluu naye anatafuta bwana wa kum-cameruni?
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe kilaza uliyefeli mtihani wa kidatu cha nne hata ukirudi utaongea nini zaidi ya mashudu na matusi!
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vijana wenzetu wa Unguja na Pemba,

  Umbueni hicho chama cha Vikongwe CCM na sera zake zile ZILIPENDWA ambazo kimsingi hazipandi tena kwetu kwa ulimwengu wa leo. CCM tukiachie wazee na Jimbo la Uzini tukalikamate sasa na kuendelea katika majimbo mengine.

  Vijana Uzini kama Igunga vile mpaka CCM kitoke ulimi nje. Vijana tunaweza tukiamua!!
   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  kipitishe chadema muone maendeleo
   
Loading...