Marais wetu wastaafu MWINYI na MKAPA hawajasikia kuhusu mgomo wa madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marais wetu wastaafu MWINYI na MKAPA hawajasikia kuhusu mgomo wa madaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mariavictima, Feb 9, 2012.

 1. m

  mariavictima Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilitegemea kwa kiasi kikubwa Wazee wetu hawa wawe wameingilia kwa namna ya kipekee kabisa katika kusaidia kutatua mgogoro huu mkubwa wa Madaktari na Serikali ambao sidhani kama umeshawahi kutokea katika nchi yetu. Nimeshangazwa na ukimya wao kuhusu jambo hili linalohusu uhai wa Mtanzania. Nakumbuka enzi za Nyerere jambo kama hili asingekaa kimya bila kutoa ushauri wa namna yoyote ile. Je ni kwamba hawajui au hawajasikia kinachoendelea au wameamua tu kukaa kimya??
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Waacheni hao wazee wajipumzikie, wakati wao umepita.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hawahusiki! waache wapumzike!
   
 4. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nenda na wewe kautatue
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Inawezekana ikawa wamemshauri mwenzao kimya kimya na yeye akaamua kupuuzia maana Rais halazimiki kutekeleza au kukubaliana na ushauri wowote anaopewa. Wakiongea hadharani haitapendeza.
   
 6. R

  Renegade JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,068
  Trophy Points: 280
  Hawahusiki!!! kwani serikali si Ipo na rais wake aliyeshinda kwa kishindo 2010?
   
 7. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Senior member vipi tena?
   
 8. m

  mariavictima Senior Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ah! nimeuliza tu maana "Mtu mzima dawa". Ushauri wao kwa serikali ungeweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutatua hili tatizo tangu mwanzo.
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,707
  Trophy Points: 280
  Haiwahu..........
   
 10. King2

  King2 JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umeshasema wastaafu. Huyo alioko madarakani hajasikia?
   
 11. m

  massai JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanakazi moja tu yakwenda uzini .kule mambo ni mabaya dokta wa ukweli anawakimbiza mbaya.subirini mtasikia wapo majukwaani wakiwajaza ujinga wapumbavu wao.
   
 12. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Iliwahi kumtokea Mwinyi enzi za utawala wake mwaka 92.
  Lakini yakhe yeye akaenda kwenye dansi la Kanda Bongoman.
  Inde Moniiiiii!
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  huyu alieko madarakani
  mbona hamumshangai
  yupo kimya.sa wenzake waseme nini?wkt mwenyenyumba anazurura tu?
   
 14. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wao wanasubiri kuokoa jahazi kwenye chaguzi tu!
   
Loading...