Pongezi kwa Zitto

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Mh.zitto kwabwe anastahiri kupewa pongezi kwa kazi anyo ifanya bungeni.
 
mnh me mbona siioni ama huwa anajitolea na kufagia bunge,au kutoa vumbi????

namkubali kwakua ni samart kichwani lakini tatizo lake kubwa ni mnafiki.
 
Niko pamoja na wewe mleta mada,
Watu hawafuatilii habari halafu wanaanza kuuliza anachofanya hapa jukwaani.Nilitarajia kila mtu angeandika point ya jambo analofanya Zitto linalomfurahisha.
Kwa hakika anafanya mambo mengi sana kwa hii nchi nikitulia nitayaandika hapa. MUNGU AMBARIKI SANA ZITTO, NA MAADUI WAKE WOTE WASHINDWE
 
Una jua NICE usikurupuke kuwalaumu waliomkosoa mtoa hoja...Mimi nafikiri hoja nzuri au mtu anapoelezea kitu lazima aweke mifano ndio inaleta points. Sasa usimtetee Mleta hoja tu bila kufikiri
Mimi siwaungi kwa asilimia mia walio kosoa ila nataka nichangie kama ifatavyo
1. Ni kweli Zitto ni mchapa kazi mzuri ni mdadidi....hilo hatukatai
2. Tatizo lake ni mnafiki kwa asilimia nyingi....Kwani baadhi ya mambo huyafanya kwa nia ya kujijenga kisiasa yaani kwake ni bora ashirikiane na mafisadi wa SISIEM kama tu watamjenga kisiasa. Yupo radhi atoe siri za CDM kwa SISIEM ili kutaka umaarufu
3. Zito wa Sasa si yule wa mwanzo. sasa hivi mafisadi washamtia kiganjani....(Mnafiki!!!)
4. Pamoja na kumpa sifa SIMUAMINI ZITTO Kabisa siku hizi
5. Baadhi ya migogoro mingi ya CDM yeye ndiye source
6. AKILI ZAKO CHANGANYA NA ZAKE!!!?

3.
 
we ni mjinga kupita wale wanafunzi walioandika matusi kweye mitiani ya 4form
 
zito kaibua ufisadi wa kufa mtu hela za fidia ya pamba.
kwa maelezo zaidi fuatilia bunge.

nasepa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom