Muswada huu wa katiba -Wabunge kweli hawana aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada huu wa katiba -Wabunge kweli hawana aibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MchunguZI, Feb 9, 2012.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Naangalia nyuso za Wabunge wanavyojidai kusifu changes za muswada huu wa kuunda tume ya katiba.

  Kwa nini hawaoni aibu kwa kupitisha makosa ya wazi wakati ule, tena waliyoonyeshwa wazi na wakakataa kabisa na kuzomea. Leo hii eti wamepata akili ya kusema, hii safi!

  Lazima wakubali kwamba ni makosa mengi wametutendea kwa mtindo wao huo wa kizembe. Wakubali kwamba hawashiki ufahamu wote wa wa-Tanzania. Nje ya Bunge kuna walio na ufahamu mkubwa kuliko wao.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww mbona ndani ya familia uko hivyo hivyo

   
Loading...