Kuna haja ya spika kuwa mtaalamu wa sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya spika kuwa mtaalamu wa sheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Dude, Feb 9, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wadau,
  Naangalia vita ya kisheria na kanuni za bunge kuhusu mabadiliko ya schedule ya muswada wa kurekebisha sheria ya mabadiliko ya katiba.
  Tundu Lisu,AG,Spika na zito wanachuana vikali.

  Kwa jinsi spika anavohangaika na kupata shida na kigugumizi na mfadhaiko,nimegundua kuna haja ya kuweka kigezo kuwa spika wa bunge awe walau amesomea sheria ama ni practicing lawyer kabisa.

  Nasema awe amesomea sheria kabisa kama mainstream kozi na sio branches za law maana pia Makinda aliwahi kujitetea kwa kusema mbona hata yeye alisoma business law pale chuoni Mzumbe?

  So,katika mchakato wa katiba mpya nadhani hili pia liwe reflected na tupate spika ambaye ni mjuvi wa sheria.Hii pia itamuepushia embarrassment kama anayopata Bi Makinda.
  Sjui wenzangu mnaonaje?
   
 2. t

  taranda Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa updates. Wengine tunafolenika..
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  AG nae anatuletea ushairi wake utafikiri tuko kwene mashindano ya kughani
   
 4. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Halafu yani mtu unaamend ammendment kabla ammendment yenyewe haijapitishwa? Is that how the law works?but ofkoz this is Tanzania!
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kilango kapendekeza kifungu A halafu kakifuta kupitia kifungu B!Hahaha hiyo ndo sheria km huijui itakusumbua!
   
 6. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbowe ananukuu hadi katiba ya ccm ya mwaka gani sjui!
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi nashauri huyu mama apimwe akili.

  Na yule kibaraka wake Ndu' guy naye apelekwe kanisani akatolewe pepo la kujikweza
   
 8. w

  wabanmtata Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati mwingine tusikubali kuwa na spika asie na mume.Spika gani hana adabu anakemea wanaume hovyo?M.senge sana huyu spika.pumbaf kabisa
   
 9. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hata km hasira zimezidi hayo matusi sio pake jf
   
Loading...