MAFISADI wa PPRA hawa hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAFISADI wa PPRA hawa hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jan 11, 2011.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naomba tujadili issue iliyokuwa raised. Hapa nilipo ninayo PPA lakini nadhani huko PPRA nako kumejaa ufisadi zaidi

  Dowans ruling bares Dar


  wabaya wenu ni hawa hapa nimeshindwa kupost picha zao:

  PPRA::Board of Directors


  so weird hawa walitakiwa wawe na meno ya kuuma PPA inapochezewa wao ahhh hawajali

  watendaji ni hawa hapa:
  Management


  Jiulizeni, imewezekana vipi BRELA wampe mtu tenda ya SOFTWARE ya kuregister kampuni online na kufanya filing online ya milioni 800 BILA kutangaza TENDA?

  Halafu jamaa anakuwambia eti it will take 3 days kuregister kampuni!!!!!!!!!!!!!!!!

  as far as I know ni kuwa SOFTWARE kama iko up and running it should only take 1 hr to register a company

  Of course PPRA na wenzao wanafanya semina tuu kila kukicha!!


  Lakini naweza nikawapa 100 % kwa kuwa na the BEST WEBSITE out there...sidhani kamakuna idara yoyote serikalini ina website nzuri kama hii...including Mambo ya Nje
   
 2. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  wale wale 2 na ukiritimba wao web nzuri ila hawajawa organized kivile.
   
 3. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  So what is the issue here?? Sijakuelewa.
   
 4. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  ppra(public procurement regulatory authority) ndo msimamizi wa mambo ya manunuzi ya umma so jamaa alikuwa anahoji kuhusu kutokusimamia hiyo tender ya mil 800
   
 5. a

  autopilot Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi naona witch hunt JF style hapo
   
 6. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya, anza kuchambua mmoja mmoja! Wote!!!!
   
 7. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hakuna fisadi anayemzidi Blandina Nyoni, ila kwa hili la madaktari ameingia choo cha kiume
   
 8. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  [h=3]Dr Leonard M.G. Chamuriho[/h] Dr.Leonard M.G. Chamuriho is a member of the Board of Directors. He is a lecturer and Estate Manager, University of Dar es Salaam

  eeeee kumbe nayo yumo huyo jamaa....Zamani alikuwa na kigari chake kama mkate alikinunua alipotoka kuchukua Phd. Loooool kazi kweli kweli
   
Loading...