JK yupo Ikulu hajasafiri

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Katika sura inayoonyesha Pinda kaagizwa , hatupaswi kuwa na shaka na maamuzi yake kwani Mkulu yuko Ikulu (Magogoni) na Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Bw. Johnie Carsons kwa issue ya umeme (uwekezaji wa megawati 3000).Mr Megawatt (Ngeleja) nae yupo. Pinda kaambiwa akiwashindwa madaktari nae aje na barua ya kujifukuzisha.

Tazama
us1.jpg

Na hapa
us3.jpg


Huyo kwenye picha.
us2.jpg
 
Umaana wa mwanaume huwa unapimwa, pamoja na mambo mengine, kwa kuangalia pia viatu anavyovaa. Ukiangalia viatu vya baba Mwanaasha kwenye picha ya kwanza na hata nyinginezo nyingi tu huwezi kushangaa uwezo wake mfinyu kwenye fikra, maamuzi na utendaji.
 
.. hata hayo mataka waliyokanyaga (tena mbele ya lango kuu la ikulu) wahusika hawakuyaona? ni ushahidi kwamba uwajibikaji koote ni zero
 
Kwa mbali kwenye picha ya kwanza kama namuona LOWASSA!
Au ni mimacho yangu?
 
Hayo ndio mambo anayopenda baba yetu....ziara! kutembea na kutembelewa na si kukaa ofisini na kupanga mambo
 
.. hata hayo mataka waliyokanyaga (tena mbele ya lango kuu la ikulu) wahusika hawakuyaona? ni ushahidi kwamba uwajibikaji koote ni zero

Mjf hayo ni maua yamedondoshwa makusudi - yaani mapambo kama yale amabayo wapambe huwa wanamrushia bi-harusi na bw-harusi!!
 
jamani swali la kizushi...hivi kuna kitu baba mwanaasha anapenda kama kupiga picha??
 
we apoly hz picha unazipataje? au ndo baada y mkutano wa release to the media?
 
Tuache kuponda..alikua na mkutano muhimu kwa ajili ya mpango wa kutatua tatizo la umeme..TUACHE MANENO MBOFU MBOFU jamani...mnakua kama vijishetani vidogo vidogo vya john feza ???
 
Ifike mahali watu wawe wanachuja habari zao kabla ya kuzileta jamvini. Jana kuna mtu amerusha uzi kuwa JK amesafiri kwenda Finland kwa kweli jinsi watu walivyochangia walimhukumu kwa hiyo taarifa wakati si kweli. Nadhani ni wakati muafaka kwa mods kuondoa hoja yoyote ambayo haina ushahidi thabiti.
 
Back
Top Bottom