Ushauri juu ya hoja ya Zito ya zao la mkonge

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
pongezi zako kaka kwa kuwasilisha hoja binafsi juu ya zao la mkonge, in the very beggining umeona jinsi serikali inavyotaka leta siasa juu ya hili. ushauri wangu kwako: serikali imeshindwa simamia sera zake, kwenye kilimo tunaona jinsi sera ya kilimo kwanza inavyochechemea, i doubt kama hoja yako itatekelezwa kama ungevyopenda, ushauri wangu kwako ni bora utafute njia mbadala ya kukuza uzalishaji wa zao la mkonge, hata wewe mwenyewe kwa kipato chako waweza onyesha mfano.
 
Back
Top Bottom