Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Serikali ya JK na Pinda na sio Lowasa

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda.
 
Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda.

mgomo upi tena? au hauna taarifa kwamba mgomo umekwisha? au ndiyo unampigia debe huyo fisadi?
Serikali na madaktari wamefikia muafaka na ni vema sana. Kuendelea kujadili ni kunesha kwamba tulikuwa tunashabikia kuona wagonjwa wanateseka.
 
sijaona connection hapo ... mtu ambaye si sehemu ya utendaji wa serikali anaingiaje kwenye huo mgomo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom