Madaktari wote kurudi kazini 10/Feb/2012 asubuhi

Kikao kilichofanyika leo kati ya serikali na madaktari kimefikia mwisho kwa madaktari kukubali kurejea kazini kesho. Good news kwa watanzania hongera sana madaktari kwa kukubali kurudi kuwahudumia watanzania wenzenu

We zero mbona habari hizi kama unakimbia, hebu andika vizuri nini kimetokea, wamekubaliwa maombi yao au wamelazimishwa?
 
Mkuu taarifa nilizopata ni kwamba serikali imewasihi chonde chonde warejee kazini madai yao yatashughulikiwa
Hiyo serikali ilikuwa wapi siku zote hizo mpaka watu wafe ndiyo ipate akili ya kuwasihi madaktari?
 
WAZIRI MKUU UNAVYOMALIZANA NA MADKTARI WETU USISAHA KWAMBA NA WAALIMU TUKO HAPA MLANGONI TUNASUBIRI KUJA NDANI MWAKO HAPO KUPEWA CHETU

Waziri Mkuu, kuondoa tu mtu kwenye cheo chake kisha kesho unampa kazi ya ubalozini wala haitusaidi kitu chochote hapa. Nasema mawazo ya kitu gani kifanyike ni hayo hapo chini kwa faida ya mustakabali na ustawi mzuri wa taifa letu.

Pia usisahau kukamilisha mambo ya walimu wetu hapa hapa kesh kesh maana usiombe wale wakigoma nchi hii tumekwisha kwa kuwa wako hadi katika ngazi ya kila kijiji wa nchi hii.

Nasema usiombe waalimu wakimwaga sumu huko kote vijijini utasikia hadi zile 'gala za kura za maruani za CCM' huko vijijini nazo zimechomwa moto sasa sijui Wa-Kijani itakuaje hadi hapo!!!!! Enyi viongozi wetu wa upinzani, kama CCM wao bado hawalioni hatari kubwa hii walimu wakigoma kote nchini - kawakumbusheni juu ya hilo!

WaTanzania tusisahau kwamba lugha pekee wanayoielewa hii serikali ya Pinda na Kikwete ni lugha ya Migomo na Maandamano tuuuuuuuuuu!! Hivyo kila chama cha upinzani nayo ielewe hilo juu ya jinsi gani ya kufanya mawasiliano na serikali ya CCM mkaelewana.

MAFISADI kutuibia koote kule serikalini na kuendelea tu kubadilishiwa vyeo hapa na pale na sisi kugeuzwa mazezeta yote ni kutokana na ukweli kwamba lugha murua wa kuwasiliana na serikali hii iliojaa watu wenye KIBURI CHA KOBE hatukuifahamu hata tone. Na huo ndio ukweli wa mambo.

Serikari ya CCM, mdharau mwiba miguu huota ...?

Madaktari wetu wasikilizwe kwa kina, mfumo wa sekta ya afya na utibabu ufumuliwe haraka kwa faida ya wadau wake.

Hivyo, na posho za bwerere kwa walaghai wa wananchi kule bungeni wapewe manesi wetu pamoja na walimu ambao wanafanya kazi katika mazingira magumu mno kututumikia sisi jamii ya Tanzania.
 
Unajua haya yasingetokea, bali tokea mwanzo waziri Pinda angetumia ile Sympathy yake ya kulia angekua ameshamaliza huo mgogoro kwakua wangemuhurumia kwakuyaona yale machozi yake.
 
CCM mpaka kivutwe shati, kisukumwe ukutani kikudwe shingo ndipo kielewe some; ama kweli kumfundisha mmbwa mzee mbinu mpya ni kazi kweli kweli.

CCM pisheni kwa kuwa mmeonyesha wazi kupitwa na wakati kulingana na mitazamo na hata sera, za miaka majuzi, mnazozitumia katika ulimwengu wa sasa.
 
Unajua haya yasingetokea, bali tokea mwanzo waziri Pinda angetumia ile Sympathy yake ya kulia angekua ameshamaliza huo mgogoro kwakua wangemuhurumia kwakuyaona yale machozi yake.
mi nashangaa badala ya kuwalilia madaktari yeye anawawekea sura ya kazi, ona sasa alivyohangaika
 
Tukumbuke kwamba matatizo yote haya yanaletwa na uchumi duni.Hili ndilo tatizo la msingi.Ni bora serikali ikawa na mikakati ya makusudi kabisa ya ku-manage uchumi wetu vizuri ili iwe na uwezo kifedha.Katika hali ya gross mismanagement ya uchumi iliyopo sasa,waalimu kulipwa haki zao ni ndoto.
WAZIRI MKUU UNAVYOMALIZANA NA MADKTARI WETU USISAHA KWAMBA NA WAALIMU TUKO HAPA MLANGONI TUNASUBIRI KUJA NDANI MWAKO HAPO KUPEWA CHETU

Waziri Mkuu, kuondoa tu mtu kwenye cheo chake kisha kesho unampa kazi ya ubalozini wala haitusaidi kitu chochote hapa. Nasema mawazo ya kitu gani kifanyike ni hayo hapo chini kwa faida ya mustakabali na ustawi mzuri wa taifa letu.

Pia usisahau kukamilisha mambo ya walimu wetu hapa hapa kesh kesh maana usiombe wale wakigoma nchi hii tumekwisha kwa kuwa wako hadi katika ngazi ya kila kijiji wa nchi hii.

Nasema usiombe waalimu wakimwaga sumu huko kote vijijini utasikia hadi zile 'gala za kura za maruani za CCM' huko vijijini nazo zimechomwa moto sasa sijui Wa-Kijani itakuaje hadi hapo!!!!! Enyi viongozi wetu wa upinzani, kama CCM wao bado hawalioni hatari kubwa hii walimu wakigoma kote nchini - kawakumbusheni juu ya hilo!

WaTanzania tusisahau kwamba lugha pekee wanayoielewa hii serikali ya Pinda na Kikwete ni lugha ya Migomo na Maandamano tuuuuuuuuuu!! Hivyo kila chama cha upinzani nayo ielewe hilo juu ya jinsi gani ya kufanya mawasiliano na serikali ya CCM mkaelewana.

MAFISADI kutuibia koote kule serikalini na kuendelea tu kubadilishiwa vyeo hapa na pale na sisi kugeuzwa mazezeta yote ni kutokana na ukweli kwamba lugha murua wa kuwasiliana na serikali hii iliojaa watu wenye KIBURI CHA KOBE hatukuifahamu hata tone. Na huo ndio ukweli wa mambo.

Serikari ya CCM, mdharau mwiba miguu huota ...?
 
yaaah , nimewapenda madaktari, baada ya mwezi , kama hawa wasanii watakua hawatimiza wajibu wao mgomo tena
 
Uchumi watai-manage saa ngapi kaka na ufisadi kufanyika saa ngapi kwa hawa watu wasioumwa kitu chochote ndani ya nchi bali familia zao tuuu??

Tukumbuke kwamba matatizo yote haya yanaletwa na uchumi duni.

Hili ndilo tatizo la msingi.Ni bora serikali ikawa na mikakati ya makusudi kabisa ya ku-manage uchumi wetu vizuri ili iwe na uwezo kifedha.Katika hali ya gross mismanagement ya uchumi iliyopo sasa,waalimu kulipwa haki zao ni ndoto.
 
Kikao kilichofanyika leo kati ya serikali na madaktari kimefikia mwisho kwa madaktari kukubali kurejea kazini kesho. Good news kwa watanzania hongera sana madaktari kwa kukubali kurudi kuwahudumia watanzania wenzenu
Mkuu Ground Zero ahasante kwa taarifa good news, hebu toa taarifa ya uhakika isije kuwa wakagoma tena badala ya kuendelea na kazi!!!!!! Matakwa yao yamekubaliwa kutimizwa??????
 
Kati ya hatua zilizochukuliwa na serikali kuwashawishi madaktari ni kuwatimua Katibu Mkuu Blandina Nyoni huku Haji Mponda akisubiriwa rais mwenyewe ajue hatima yake.
Sawa kabisa kama kawaida ya Mheshimiwa Pinda, chukua kesi ya Joiro kumsubiri Raisi ATOKE SAFARI!!!!! Tafadhari kabla halijatokea janga lingine la ajabu, mikataba ya ajira ya makatibu wakuu ingeangaliwa na bunge,ukomo wa mamlaka wa KM, nina hakika Mheshimiwa Nyika, Halima na wakeleketwa wengine wanaliangalia hilo!!!!!!
 
Eti serikali sikivu. Si walimu tu, kada zote ambazo zinalipwa ujira usiolingana na kazi wanazofanya ni wakati sasa wa kuchukua hatua za makusudi, kuingia ktkmgogoro na serikali, ndio njia pekee ya kuwafanya wasikie. Njia zingine zoote wanakuwaga viziwi kabisaa.
 
Kikao kilichofanyika leo kati ya serikali na madaktari kimefikia mwisho kwa madaktari kukubali kurejea kazini kesho. Good news kwa watanzania hongera sana madaktari kwa kukubali kurudi kuwahudumia watanzania wenzenu

Weee ZERO, apia kwa jina Mungu wako!!!!!!!!

Yaani mimi nilikuwa naogopa kupanda BODABODA kwa sababu hakukuwa na madakitari, hivyo nilikuwa natea umbali mrefu sana..

HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom