Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bullet, Feb 9, 2012.

 1. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake.
  Chanzo: madaktari walio katika kikao na waziri mkuu.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,750
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  great!
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  This is just a tiny step forward. Who will swallow the whole issue?
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kazi imeanza, JK tunasubiri hatua zaidi vinginevyo ukishindwa kumaliza itakuwa imetokota kwenye 0°C.
   
 5. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa hicho usemacho maana watu hawakawii kupinga na kuuliza mara mbilimbili
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mmh anatakiwa afanye maamuzi mazito
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Leo amepata wapi mamlaka ya kuwasimamisha kama alishindwa kwa Jairo?
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Mmmh mambo ya tandale hayo saa nne unasikii hivi sasa ni saa mbili kamili
   
 9. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itakuwa kama issue ya Jairo Pinda ni umbwa asiye na meno hana maamuzi yoyote
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  wanaitwa nani....?
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ngoja nimpigie Dr Swai nisikie anasemaje mle kikaoni maana ni vema kuthibitisha maneno kama hayo
   
 12. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Jamani tuwe makini na taarifa tunazotoa..Coz kama ameweza kumsimamisha kazi huyu wa afya ilikuwaje akashindwa ile ya Jairo..
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  and he was supposd to be the 1st to step down
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  MAMUZI MAZITO KWENYE HIVYO VIDAGAA..?? Hapo ndo simuelewi PM........ madaktari walishajifukuzisha kazi tangu siku ile aliposema, leo kawasimamisha hao wawili.......... SIONI MAAMUZI MAGUMU YOYOTE HAPO.......... ALIOWASIMAMISHA NI WALAINI TUU.......... AACHE KUHANGAIKA NA VIDAGAA, ASHUGHURIKE NA MIPAPA............
   
 15. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nayeye vp? Ajaachia ngazi
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Wanavuana magamba!! Chereko leo
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Hana mamlaka hayo.........mmeshasahau ya JAIRO?
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwanzo mzuri ila muda wote alikuwa wapi?Naye anapaswa awajibike manake aliitwa akadengua maji yamefika shingoni ndoo huyo anaenda viongozi wa tanzania mhh
   
 19. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  cmo na nyoni out........sasa vasco da gama aje atuambie kuhusu mponda na nkya ndo turudi kazini.alijua anachezea watoto nini??
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Huyo ndio Pinda zaidi ya umjuavyo!
   
Loading...