Hivi bila ya wanahabari na wabunge wa upinzani na hata wanaharakati hii nchi ingekuwaje? nadhani ufisadi na ubabe ungetisha. PIA nampongeza sana Mheshimiwa Rais Kikwete kwa kuukubali ukweli kuhusu...
mimi nawashangaa watu na taasisi zinazomkomalia waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu kwa hako kamgomo ka wiki tatu.jaman mbona watu wengi tu wamevurunda hatuwaulizi?kwanza mwaka jana tuu,matokeo...
Jana tulipewa taarifa humu na wanajami kuwa Nyoni ameachishwa kazi, taarifa zile ni za upotoshaji kabisa kilichotokea ni kuwa amepewa likizo ya lazima kupisha uchunguzi, na kama iliyozoeleka na...
Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za...
ila sijui kama viongozi wa taifa ili na vyama vya kisiasa kama wana roho hai.au pengine hawajui ugumu wa maisha ya mtanzania.tazameni star tv kipindi cha medani za kisiasa na jamii,wananchi...
Wakuu
Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Arusha mjini imeanza kusikilizwa,baada ya kujitoa kwa Jaji Aloyce Mujuluzi.Jana upande wa mashtaka ulianza kutoa ushahidi,ambapo shahidi wa kwanza Musa...
Watanzania tupo? Tujifunze kutokana na shida tunazozipata, serikali inatufanyia nini? Tupo wapi kutokana na ilani ya chama tawala.
Naamini ilani ya chama imetokana na wanachama husika na basi...
Wana JF Nimepitia katika blogu ya Michuzi na kukuta hizi picha but no news..! Kuna mwenye 'Leaks' za mkutano huo, yaani kilichoongelewa na makubaliano atujulishe??. Maana siyo kawaida kwa JF...
Kufuatia kupitishwa kwa SHERIA ya marekebisho ya KATIBA leo Bungeni, Mh. Kafulila atoa maoni yake akitofautiana na maamuzi yaliyopitishwa leo. Mh. Kafulila ameandika waraka huu akiufafanulia UMMA...
Wadau juzi wakati CCM ikisheherekea miaka 35, Mr Lukuvi ambae anajiita mlezi wa CCM mkoa wa Mara alikuja Musoma na kuandaa mkutano maeneo ya nyakato, Ndugu zangu huyu jamaa alichoambulia ni aibu...
Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka Morogoro, ni kuwa viongozi wa Baraza la vijana Taifa (Bavicha), Bw. John Heche(mwenyekiti) na Bw. Deogratius Munishi(Katibu Mkuu) wapo mjini humo katika...
Kila kiongozi wa Cuf alipokuwa anaongea na media kuhusu uchaguzi wa igunga akiwemo Mtatiro kauli hii ilitumika! 'TUNA MTAJI WA KURA 11000' wakaishiwa ktk uchaguzi.je arumeru mashariki bw. mtatiro...
Kwa jinsi mgomo wa madaktari ulivyochukua muda mrefu huku serikali ikisusua hata kukwepa kuongea nao zaidi ya kuwatisha, kuna watu waliokufa kutokana na hili. Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu...
hivi huyu Hamad Rashid ni kiongozi wa serikali au nani?? yaani mi sijamuelewa kabisa...(note:msianze kuniuliza source hapa...na kuattach kwenyewe sijui basi mtamwambia PAW aiweke vizuri bana)
Saturday, 11 February 2012 09:01
Rais Jakaya Kikwete
HOFU YA WAPINZANI KUCHUKUA NCHI YAZIZIMA, WABUNGE WAKE WAPINGA MABADILIKO YA KATIBA NDANI YA CHAMA
Waandishi Wetu, Dodoma
MSUGUANO...
MOU imesainiwa leo kati ya serikali, wilaya ya Babati na Hospitali ya Dareda iliyo chini ya Jimbo katoliki la Mbulu, hii ni kuwezesha wananchi kupata huduma nafuu na walio chini ya miaka 5...
Wakuu Heshima.
Hapana shaka mambo kadhaa yanayolitikisa taifa kwa sasa kwa umuhimu wake kwa wananchi na taifa kwa ujumla yameasisiwa na vyama vya upinzani na baadhi ya mambo hayo yanaonekana...