Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MH, hivi wabunge wa CCM, wanaogopa nini kwa kupokea baadhi ya marekebisho ya vipengere vya katiba. Waliipitisha wakiwa zaidi ya 200 na zaidi ya masaa 6 hadi 12 yalitumika. Waliaswa madudu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka wa tano wa kutawala kwake Rais Jakaya Kikwete, Amani Karume alipokuwa Rais wa Zanzibar, na Ali Karume, ndugu yake, Balozi wa Nchi, na Mizengo Pinda Waziri Mkuu wa Tanzania, wakati wa Uspika...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona. La muhimu ni kuwa Chama...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Prof. Lipumba yuko nchini merakani kwa mwaliko wa taasisi ya National for Democracy endowment, ameombwa kutoa mada juu ujenzi ya taasisi ya kidemokrasia nchini Tanzania; mkutano huu unahudhuriwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alieshinda ni Raza wa CCM kura elf tano Chadema kura 200 Cuf kura 20 Big up Chadema kwa kuibuka best losers, no offense intended.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
hiv jamana Jairo yuko wp saiz? manaake tuliskia kapewa likizo kupsha uchunguz na baadae akateuliwa katibu mkuu mwngne but hatujui Jairo yuko wp!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Feb 11 Taswira Mbalimbali Za Mkutano Wa Rais Jakaya Kikwete na Wabunge Wa CCM Mjini Dodoma Written by haki | // 0 comments Meza kuu kabla ya kuanza kikao Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kitu cha ajabu kwa serikali ya CCM kushindwa kuiteketeza chadema inayoelekea kuchukua nchi 2015 mbali kuwa na taasisi zote za mashambulizi. kitu ninachokiona watumishi wa serikali na wanachama...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimefuatilia kwa karibu campaign za ccm katika chaguzi mbalimbali na nimebaina kuwa katika majimbo yote yenye utajiri wa madini na rasimali nyingine za thamani ccm hufanya kila mbinu kuhakikisha...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
LEO tumechapisha habari zinazomnukuu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akishangazwa na kauli iliyotolewa katika Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Mji Mkongwe...
1 Reactions
287 Replies
21K Views
Nipo Arusha nilikuwa napitapita Arumeru kujua hali ya hewa huko. Vijana wengi wanalalamika kuwa walikuwa hawajajiandikisha na wengine walipoteza vitambulisho na wengine wamerudi kutoka mererani na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu, Kamanda Rogers Luhega,aliyekuwa mugombea ubunge jimbo la Geita 2010 kwa tiketi ya CDM,katibu wa BAVICHA wilaya ya Geita bwana Vicent Paulo maarufu kwa jina la Dear Mama,diwani wa kata ya...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
A gas plant in Tanzania. Picture: File By JOHN MBALAMWEZI Posted Saturday, February 11 2012 at 17:07 Tanzania and Canadian oil and gas company Wentworth Resource Ltd have reached an...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kazi inayofanywa CHADEMA kwa kwa kweli mnapaswa kupongezwa. Lakini nachukua nafasi kumpongeza Tundu Lisu hakika umeonyesha uajasiri mkubwa na sio mwoga pamoja na kushambuliwa kila upande na...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
  • Closed
Wabunge wamwangukia JK 12th February 2012 Mmoja asema ameshindwa kunenepa Wasema ni muhimu kwa kazi za ubunge Mwenyewe asema liachwe kama lilivyo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za JUMAPILI wanaJF; Leo tunaangazia harakati za makundi ya Wanaharakati NCHINI katikati ya upepo huu wa siasa zinazovuma NCHINI Tunazungumza na Marcus Albany - Policy forum Ussu Malya -...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Uchaguzi ktk jimbo Uzini unafanyika leo Jumapili Feb. 12. 2012 Vyama vitano vinashiriki ie CHADEMA, CUF, CCM TADEA na ... Tunaomba walioko huko watupe Update za kinacho endelea Asante naomba...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Awali, Pinda alitangaza kuwasimamisha kazi Nyoni na Dk. Mtasiwa na kusema amefikia hatua hiyo kutokana na kupokea malalamiko mengi dhidi yao. Alisema zipo tuhuma mbalimbali dhidi yao zikiwemo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
NI juzi tu mh pinda alimkataa Dk. Ulimboka kuwa si daktari, tusome habari hii ya tanzania daima kujikumbusha Kiongozi wao si daktari Katika hatua nyingine, Pinda alisema kuwa katika uchunguzi wao...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Nchi iko vitani, hivi ndivyo limeripoti leo gazeti la majira likimaanisha kuwa Tanzania hupata misaada kama nchi zilizovitani huku wabunge wakiikosoa serikali kwa jinsi inavyotumia misaada hiyo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…