Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana Jf nimekuwa nikipata shida sana kwanin tume hii imeshindwa kutoa nafasi sawa kwa wananch wote kupiga kura na kumchagua wampendaye ili awawakilishe.Nakumbuka 2010 > wanafunz wa vyuo...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Katika pita pita yangu nimekutana na mfululizo wa makala hizi ambazo Mbowe aliandika mwanzoni mwa mwaka 2007. Miaka miwili imepita toka wakati huo, je, maneno aliyoyatabiri wakati huo yametimia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, rais amekuwa akitumia style ya kuongea na wale wanaojiita 'wazee' wa Dar es salaam kila anapotaka kujibu mapigo katika masuala mbalimbali. Sikuona akifanya hivyo kwa wakati wote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Itakuwa hatari kwa Zanzibar kama Chadema atachukua jimbo, na si jimbo tu – hata kupata Usheha/Udiwani ni hatari kwa Zanzibar: na ni AIBU kwa Wazanzibari, na Zanzibar kwa Chadema kuchukua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu. Matokeo ya mwisho haya hapa: Chama cha Mapinduzi 5377 Chama cha Demokrasia na maendeleo 281 Chama cha Wananchi 223 TADEA 14 FFP 8 Kura...
0 Reactions
341 Replies
30K Views
Nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali...
3 Reactions
96 Replies
7K Views
Ukisoma hiki kitabu utashangaa ni kwanini mpaka leo hii serikali hii ya TZ imeshindwa kuwakamata Chenge na Idris Rashid na kuwasweka ndani kwa wizi wa pesa za rada na ndege ya rais.....mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanachama 89 toka ccm wamerudisha kadi leo nakuchukua kadi za CDM huku watu 25 ambao hawakuwa na chama wamejiunga na CDM.Ni operation ondoa CCM jimboni Nyang'hwale inaendelea.
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Arusha, central govt clash over pledged land Downtown Arusha. To avoid congestion, the council had purchased land for the city's expasion, only for the central government to cede it to the AU...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SALAAM Habari kokote pale mlipo wana jaamii, nashukuru kupata nafasi na mimi kuwa ni miongoni mwa wanamtandao; kwa kweli nanyo mengi ya kusema lakini kwa leo ngoja niitumie nafasi hii japo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Takwimu zinaonesha kwamba Rais wetu ameshafanya safari 322 katika kipindi cha miaka 6 ya utawala wake. Hii ni wastani wa Safari 53.6 kwa mwaka. endapo tutachukulia wastani wa kuspend siku 3 tu kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiwa makini na kupitia kila siku katika vyombo mbalimbali vya habari na vya mawasiliano ya kijamii, hukosi kukuta uzushi unaolenga kuuaminisha umma kuwa huo ndiyo ukweli, jambo hili halina athari...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nilijitahidi kupitia pitia vyombo vya habari yakiwemo magazeti na television..... nikitajia kupata taarifa zozote kuhusu uchaguzi wa jimbo dogo la uzini......nikashangaa kukuta hakuna coverage...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vifendo vya fujo vilivyodaiwa kufanywa na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Februari 7, mwaka huu wakati wakirudi kutoka kwenye mikutano...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu tujuzeni kinachotokea Uzini, wapiga kura wameitikia kwa wingi??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani. amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Huku kazi ikizidi kupamba moto uko Uzini, huko Morogoro makamanda wa BAVICHA wanakimbiza ile mbaya. Mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu Munishi. Wamefungua ofisi ya kata, wamezindua matawi manne...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
The difference between the poor and rich nations is not the age of the Nation. This can be demonstrated by countries like India and Egypt, which are more than 2000 years old and are still poor...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua CUF na Chadema ni vyama tofauti sana na vyenye malengo tofauti. Hata hivyo ukweli ni kwamba Chadema tunawahitaji sana CUF kwa ajili ya kufanikisha mambo mengi. Kwanza ni swala la katiba, CUF...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu Wanaharakati, Baada ya kutafakari kwa muda mrefu juu ya nini cha kuandika kwenye Waraka huu, nimeona kwamba hakuna cha ziada ila kuandika ukweli. Umefika wakati wa kuutambua ukweli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…