Vipi Tume ya Uchaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Tume ya Uchaguzi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Stany, Feb 13, 2012.

 1. S

  Stany JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndugu wana Jf nimekuwa nikipata shida sana kwanin tume hii imeshindwa kutoa nafasi sawa kwa wananch wote kupiga kura na kumchagua wampendaye ili awawakilishe.Nakumbuka 2010
  > wanafunz wa vyuo walinyimwa kupiga kura makusud
  >watu weng walikosa majina yao vituoni,
  >chaguz ndogo mathalan Igunga,uzin, daftari la kudumu la wapiga kura halikuwa updated.Pia uchaguz wa April wa Arumeru hakuna mpango wa kuupdate daftar la wapiga kura je hakuna waliokufa? Je walokuwa na miaka 16 2010 hawana haki? Waliosafiri? Je wanaharakati mko wap katika hili? Au bado tume inafanya kwa ajil ya bosi wao? Where is your independence?
  Nawakilisha
   
Loading...