T. 2015 CCM
Member
- Feb 13, 2012
- 26
- 5
Ukiwa makini na kupitia kila siku katika vyombo mbalimbali vya habari na vya mawasiliano ya kijamii, hukosi kukuta uzushi unaolenga kuuaminisha umma kuwa huo ndiyo ukweli, jambo hili halina athari kwa wakati wa sasa, bali athari yake ipo huko mbeleni. tunajenga jamii ya watu wepesi wa kuzusha na kuibua hoja zisizo na mashiko badala ya masuala ya msingi kwa taifa letu.