Mbowe: Nchi imekwama, Kikwete ameelemewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe: Nchi imekwama, Kikwete ameelemewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asha Abdala, Apr 15, 2009.

 1. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika pita pita yangu nimekutana na mfululizo wa makala hizi ambazo Mbowe aliandika mwanzoni mwa mwaka 2007. Miaka miwili imepita toka wakati huo, je, maneno aliyoyatabiri wakati huo yametimia?

  Mfululizo wenyewe unapatikana hapa: Nchi imekwama; tayari Kikwete amelemewa

  Pia soma maelezo yake ya wakati huo kuhusu Hotuba ya Kikwete bungeni, kwa kupitia waraka wake wa kwanza mpaka wa sita wa Mbowe kwa Kikwete: Makala za Freeman A. Mbowe, Mwenyekiti Taifa

  Mbowe ukichanganya na Dr Slaa, ukamweka na Zitto Kabwe, pembeni Tundu Lissu halafu Profesa Baregu akawa jirani unapata chama mbadala tumaini jipya la watanzania-CHADEMA.
   
 2. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tupe safu ya uongozi zaidi ya ulioutaja ili nijui mpo mbadala kiasi gani!
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Apr 16, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Petu Hapa,
  Mkuu sidhani kama Chadema wana mpango wa kuwapa uwaziri wabunge isipokuwa wananchi wanaoweza kuifanya kazi hiyo..(napokea masahihisho)
  Kama sikosei mbunge kutokuwa waziri, ni hoja ambayo kama sikosei Chadema waliipeleka Bungeni..
  Kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa waziri maadam uwezo wa kuongoza unao!..
  Kifupi ktk list hiyo ongeza jina lako! haa haa haa!
   
 4. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni mambo ya msingi maswala ya kofia mbili kuondolewa. Ni jambo la msingi uongozi usibebwe na wanachama tu, lakini ni jambo la lazima chama kiwe na watu wa kutosha kubeba majukumu ya uongozi kupeleka mbele itikadi zao. Kwa mfumo wetu, chama ndio chombo chenye nguvu na kulinda maslahi ya chama katika kuongoza taifa. Kwahiyo, hata kama chadema itachukua watu wa nje, ambalo ni jambo la hatari na litahitaji mabadiliko ya katiba, inabidi chadema iwe na mzizi wake, uliotunzwa ndani ya chama na kukulia ndani ya chama.

  Rai yangu, chadema ivute wanachama wapya zaidi.
   
 5. C

  Chuma JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau samahani...Hivi Mbowe kashamaliza yale Masomo yake SPECIAL aliyokuwa anasoma au..anasubiri Miujiza ya Madagascar?
   
 6. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What do you mean by "masomo special"??
  Hivi kumbe kilichotokea Madagascar ni muujiza? Nilidhani ilikuwa "social uprising with military backing"!!
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kikwete hajakwama ila mna haraka tu jamani Rome haikujengwa kwa siku moja ,maana stage aliyofikia Muungwana sio ndogo anastahili pongezi ,unajua kuna watu wanakuwa na papara lakini inavyoonyesha Muungwana papara hanazo ni mvivu tu .
  Ni uvivu ndio marazi yake hakuna jingine ,uvivu wa utekelezaji ni very slow inawezekana miaka kumi ikawa haitoshi kwake ,tubadili Katiba ili tumwongezee.Chadema ni showing of nyingi hamna kitu.
   
 8. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mwiba

  Kwanini CHADEMA hamna kitu? Unaonaje basi wote tuunge mkono CUF? Kati ya vyama hivi viwili kipi unaona ni bora kuikiunga mkono? Maana hiyo CCM yako na Kikwete wake sitaki hata kuwasikia

  Asha
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
   
 11. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mwiba,

  Unadhani bado Kikwete hajakwama?

  Asha
   
 12. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bado anadunda
   
 13. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa south africa, kenya, zambia, rwanda, xicm wenyewe wangesha mtosa vasco da gama

  reasons;

  kwanza ameshindwa kutawala, makundi ndani ya chama

  ameshindwa kusimamia ilani ya chama na hivyo uchumi kuyumba

  wananchi wamepoteza imani na xicm, xicm wameleta maisha duni

  hivyo wagombea wa xicm 2015 hawakubaliki maana hawana jipya, ahadi za uongo.

  Hao hao walio madarakani (mawaziri wa xicm) wameshindwa kumshauri raisi kuinua uchumi na kuleta maisha bora.

  Sasa wananchi watawauliza walikuwa wapi siku zote katika wadhifa wa uwaziri, wasiboreshe maisha? Kwa nini wasubiri 2015.

  Natoa wito kwa wana xicm na mawaziri. Saidieni wananchi sasa, acheni ubinafsi
   
Loading...