Itakuwa hatari kwa Zanzibar... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itakuwa hatari kwa Zanzibar...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gurta, Feb 13, 2012.

 1. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwa hisani ya www.mzalendo.net
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hili wazanzibar wanalijua tangu siku nyingi na hawawezi kufanya kosa japo jamaa wameenda kutambulisha chama chao huko!
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Eti jimbo lina wapiga kura 8000 wakati kata yangu ina wapiga kura zaidi ya 10,000!
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  uzawa unawaponza wazanzibari. Nani kawambia kuwa hiyo ni nchi yenu, mnajua ninyi asili yenu ni kule msumbiji?
   
 5. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbona wazanzibar hawajiamini? Kila siku ni kulalamika tu. Bac watoke kwenye muungano kama wamechoka
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  akili fupi..ccm itawanyonya hadi kiama hadi waamke wenyewe...
   
Loading...