Picha: BAVICHA wakiwa mjini Morogoro

Mdutch

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
214
77
Huku kazi ikizidi kupamba moto uko Uzini, huko Morogoro makamanda wa BAVICHA wanakimbiza ile mbaya. Mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu Munishi. Wamefungua ofisi ya kata, wamezindua matawi manne, wamechangasha fedha kwa ajili ya ofisi na wamevuna wanachama zaidi ya 100 kutoka CCM na TLP akiwemo kiongozi wa uvccm kata ya kichangani. Haya ndio matukio ya Morogoro katika picha kama nilivyofanikiwa kuyapata.

Moro Pix 284.JPG Moro Pix 121.JPG Moro Pix 082.JPG Moro Pix 133.JPG



Moro Pix 196.JPG Moro Pix 349.JPG Moro Pix 378.JPG Moro Pix 351.JPG
 
chapa kazi makamanda waache hao uvmagamba waendelee kujadili urais, hongera kamanda Heche na katibu wako. hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
asante taarifa ni nzuri sana na imenifanya niamini zaidi kuwa vijana wapo kazini

LET OUR GOD BLESS THEM
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


Kwa hili Bavicha mmebamba. Nyie ni majembe. Medhamiria na mtafanikiwa bila hiana. Chapeni kazi waacheni UVMAGAMBA a.k.a UVMASABURI wapige umbea tuu wa nani atakua raisi 2015 wasijue baba Slaa yuko mioyoni mwa watanzania na anasubiri kuapishwa Mwezi Nov 2015. Juhudi hizi ndo zitafanikisha hilo so keep it up men!
 
vijana taifa la Leo na ndo msingi wa chama na taifa kwa ujumla, na wakati umefika jana kujenga Taifa.Viva CHADEMA HAKUNA KULALA,BAVICHA NDO NGUZO YA CHAMA NA ENDELEZENI UJENZI HASA SEHEMU AMBAZO HAZIJAAMKA NA HASA VIJIJINI
 
CDM taifa zima limewakubali tena sana. BAVICHA na BAWACHA tunaomba kazi iendelee kila pembe ya nchi hii tena kwa kasi kubwa na ufanisi.
 
Hadi Morogoro wameitika kiasi hiki,hz ni dalili za siku za mwisho kwa gambaz
 
Mh..kweli chama kimekua, vijana wadogo tu tena siyo wabunge wanakusanya umati kama huo???. Kwa kweli chama kimekua na kinatembea
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke vijana tunaouwezo mkubwa kuliongoza taifa ,ushukuliwe uongozi wa CHADEMA kwa kuendelea kuwapika vijana ,2015 its our time
 
Huku kazi ikizidi kupamba moto uko Uzini, huko Morogoro makamanda wa BAVICHA wanakimbiza ile mbaya. Mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu Munishi. Wamefungua ofisi ya kata, wamezindua matawi manne, wamechangasha fedha kwa ajili ya ofisi na wamevuna wanachama zaidi ya 100 kutoka CCM na TLP akiwemo kiongozi wa uvccm kata ya kichangani. Haya ndio matukio ya Morogoro katika picha kama nilivyofanikiwa kuyapata.

View attachment 47178 View attachment 47183 View attachment 47179 View attachment 47180



View attachment 47184 View attachment 47185 View attachment 47186 View attachment 47187



BAVICHA wanawashinda kwa mbali sana UVCCM....kwa organaizesheni....wanafanya vema kazi ya siasa......unaona kabisa ni vijana ambao wamejiandaa kushika dola.....ukiangalia vijana wa ccm ..huoni wakiwa na vishen ya kuendelea kushika dola......kutwa ni kulalamika kuwa wazee wanataka kuwapa wapinzani nchi..vijana wa ccm wamekata tamaa...na wanayo haki ya kuwa hivyo...
 
no sweet words to forward you BAVICHA,more than to say congraturations.
Mr HECHE,nakukubari.sasa nakushauri utoe agizo kwa ma-wenyeviti wote wa mikoa na wilaya nchi nzima wafanya harakati hizo.
sio mpaka muwasubilie akina DR na air-commander..
hata mbuyu ulianza kama mchicha,tutafika tu..........
 
Hakika ni namna nzuri ya kuandaa viongozi wa sasa na kesho na baadaye. Vijana wanafanya kazi
 
Kweli Bavicha mnatupa matumaini vijana wenzenu. Hongereni kamanda Munishi (Katibu mkuu) na Heche (Mwenyekiti)

Naamini hamtatuangusha Vijana tulio nyuma yenu. Ila itakua vema tukajua sumu mliyomwaga huko Morogoro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom