CHADEMA yaisambaratisha CCM jimbo la Nyang'hwale kijijini Karumwa

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wanachama 89 toka ccm wamerudisha kadi leo nakuchukua kadi za CDM huku watu 25 ambao hawakuwa na chama wamejiunga na CDM.Ni operation ondoa CCM jimboni Nyang'hwale inaendelea.
 
CCM wameshinda kwa asilimia 61 (61%) Uzini, Chadema Asilimia 4 (4%)

Chadema imeshika nafasi ya pili, hongera Chadema
 
CDM wanastahili hongera indeed unadhan kupata kura 200 za wa zenj ni rahc? mwendo mdundo kitaeleweka tu
 
Hongera makamanda kwa kazi nzuri, Hongera pia makamanda mlio kuwa uzini, hizo kura ni hatua kubwa.
 
@Ngw'ana Sweke unakumbuke ile thread yako kuhusu CHADEMA kuongoza huko Uzini? Vipi source wako ana upadates gani maana taarifa rasmi toka kwa tume ya uchaguzi Zanzibar ni kwamba CCM wameshinda! Pengine nikuulize hii habari ya sasa nayo vipi? una uhakika nayo?
 
Ongera wanaoongoza opesation ya ondoa ccm nyang'ware.2015 tutafanya mabadiriko ya kweli.chadema = chipolopolo<zambia national team>. Cdm tunajituma,tunawajibika,ni juu yetu kuleta maendeleo. Stand up u all tanzanians!
 
nimefatilia habari hizi nimegundua kuwa akija mwehu mmoja na akatudanganya kuwa jeshi limeasi wana jamii forum tutamiamini na kumpa pongezi , au akituambia chadema wapewewa urais jk kakubali kutoka ikuru tutakubali haraka, muhimu habari iwe na chadema ndani, mimi ni mkaazi wa kharumwa, kitongoji cha nyaweshi sasa habari hizi mbona atuzijui za chadema kuisambaratisha ccm jimbo la nyang'wale
 
Kwa akili yako unafikiri hicho kitongoji chako ndo jimbo zima? wewe kweli *****hicho ni kitongoji tu na jimbo ni kubwa zaidi
sio kilakinachotendeka katika jimbo kwamba kitakufikia!!
 
Hivi ni kusambaratisha chama katika jimbo ni kuchukua wanachama 100 au 200? fikirini vema na ondoeni matongotongo machoni mwenu.....
 
Tokea utudanganye jana kuhusu uchaguzi wa Uzini umenifanya niwe kama Tomasso
Wanachama 89 toka ccm wamerudisha kadi leo nakuchukua kadi za CDM huku watu 25 ambao hawakuwa na chama wamejiunga na CDM.Ni operation ondoa CCM jimboni Nyang'hwale inaendelea.
 
Wanachama 89 toka ccm wamerudisha kadi leo nakuchukua kadi za CDM huku watu 25 ambao hawakuwa na chama wamejiunga na CDM.Ni operation ondoa CCM jimboni Nyang'hwale inaendelea.

mkuu, ukisema Karumwa itakuwa ngumu sana wana jamvi kujua ni wapi. Kwa wasiofahamu ni wilayani GEITA, nchi yenye utajiri wa madini lakini wakazi wake choka mbaya, ukiwauliza kwa nini wanaruhusu madini kuchukuliwa kirahisi hivyo, wao jibu lao NTU TABHU GETE= HAKUNA SHIDA KABISA, WACHA WAPELEKE.

WASUKUMA NADHANI HATA KWA KUTUMIA MASABURI BADO HAWAJAFIKA, WAO HAWAFIKIRII KABISA
 
yaani heading ya thred inavuta kweli lakinin ukisoma kilichoandikwa ndani ni kama komedi ya kina masanja tbc
 
Back
Top Bottom