Vyombo vya habari havijautendea haki Uchaguzi wa jimbo la uzini!

johnn

Member
Jan 25, 2012
31
12
Leo nilijitahidi kupitia pitia vyombo vya habari yakiwemo magazeti na television..... nikitajia kupata taarifa zozote kuhusu uchaguzi wa jimbo dogo la uzini......nikashangaa kukuta hakuna coverage yoyote ya uchaguzi wa huko Uzini......nilishangazwa zaidi na taarifa kwa ufupi ya TBC1 eti wameweza kutangaza habari ya kifo cha Witney Huston wa marekani lakini wameshindwa kusema chochote kuhusu uchaguzi wa hapo pemba!!!!!!!!!!!!halil hii hari inatisha!
 
Mkuu unaweza kuta huko kishawanukia mag.amba na demu wao ndo maana wanaficha........
 
Leo nilijitahidi kupitia pitia vyombo vya habari yakiwemo magazeti na television..... nikitajia kupata taarifa zozote kuhusu uchaguzi wa jimbo dogo la uzini......nikashangaa kukuta hakuna coverage yoyote ya uchaguzi wa huko Uzini......nilishangazwa zaidi na taarifa kwa ufupi ya TBC1 eti wameweza kutangaza habari ya kifo cha Witney Huston wa marekani lakini wameshindwa kusema chochote kuhusu uchaguzi wa hapo pemba!!!!!!!!!!!!halil hii hari inatisha!

Zanzibar wana katiba yao inayowaongoza, vyombo vya habari vikinyumbua sana information za huo Zenj wanaweza kushtukia wanadadafula mambo ya Katiba ya Muungano wakati kwao haina nafasi katika nafasi ya uongozi bali Katiba ya Zenj. Bora kutozipa uzito habari zao ila huko Zenj ndio kwa upata full coverage.
 
Jamani ninyi mlio karibu huko, tunaomba mtujuze taarifa za uchaguzi Uzini.
 
Leo nilijitahidi kupitia pitia vyombo vya habari yakiwemo magazeti na television..... nikitajia kupata taarifa zozote kuhusu uchaguzi wa jimbo dogo la uzini......nikashangaa kukuta hakuna coverage yoyote ya uchaguzi wa huko Uzini......nilishangazwa zaidi na taarifa kwa ufupi ya TBC1 eti wameweza kutangaza habari ya kifo cha Witney Huston wa marekani lakini wameshindwa kusema chochote kuhusu uchaguzi wa hapo pemba!!!!!!!!!!!!halil hii hari inatisha!

Uzini haiko pemba mkuu iko katita kisiwa cha unguja miongoni mwa takribani visiwa hamsini vya zanzibar!
 
zanzibar ni nchi nyingine dat y huku bara hatuna habari nazo.
Zanzibar ni nchi nyingine kabisa isiyo tuhusu. Huko wakichaguana katika chochoro sawa na vijiji huku kwetu, michakato ya huko vijijini inakosa hamasa ya aina yoyote.
 
Mbona hata kijijini kwetu tumemkataa Mwenyekiti wa kijiji kupitia Mkutano Mkuu wa Kijiji kwa kutuudhi kufanya mambo kinyume na maslahi yetu; na hakukuwa na media coverage lakini hatulalamiki?
 
Back
Top Bottom