Mzee Mbarouk Mshimba wa Chadema amkana Hadharani Mwanawe Uzini

sisi kwa sisi

Senior Member
Feb 1, 2012
119
2
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka
 
Anadhihirisha kushindwa kwake kama mzazi

Fikra za Masaburi ya Magamba at work, mfa maji haachi kutapatapa ukijua hilo ujue wazi kwamba Mshimba wa CHADEMA katika uchaguzi wa Uzini Mohamed Raza wa Chama Cha Magamba ameshikwa Masaburi ile Mbaya!
 
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani. Amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika. My take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka

Kaka kama huna hata uhakika na source inayojenga inferences zako, conclusion yako itaaminikaje mkubwa. Acha porojo. Weka hapa hoja zinazojitosheleza kamanda. Source ya Habari Leo ni ipi, lini, kwa wakati gani, mahali gani. Jenga hoja kisha wenye sources za uhakika tukupatie uhalisia wa suala hilo. La sivyo utakuwa ni uongo na uzushi mkubwa, uso mfanowe.
 
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka
Ustaadhi, swala la Ndanda limeishia wapi? Mbona wale watoto walikaidi matakwa ya wazazi wao na wewe ukaendelea kuwaunga mkono, kwanini ustoe ushauri kama huu?
 
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka

Napata wasiwasi na uwezo wa Baba na sio mtoto. Inakuwaje akasemee jukwaani?

Sasa hivi Mshimba ni mtu mzima, uelewa wa kuongoza anaujua yeye na wapiga kura wake. Nadhani nyie CCM, mhariri wa gazeti la Habari Leo/Uhuru na Baba yake huyo mgombea akili zenu zina walakini, mlitakiwa muwe Dodoma pale Milembe. Mtu mwenye akili timamu, tena graduate kama mhariri wa gazeti la Serikali hauwezi kukubali kuandika upupu kama huo.
 
Wanampigia kura ni mwanaye kama wataona hafai kwa vigezo vya wapiga kura sawa lakini sio kwa kua baba kasema..afterall atakaye kwenda bungeni sio huyo mzee..
 
hana uwezo! kama mzaziwe kaongea hivyo hadharan ujue ana tatizo na anastahili aombewe.
 
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka

Hii ni dalili moja kubwa ya kushindwa vibaya kwa Mbarouk. kama anataka ushindi ni lazima akamwangukie babaye ili amridhie.

Pole sana Mbarouk

moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka

Nakutunuku Shahada ya Phd kwa upuuzi umediriki kumzidi JK.
 
Naona mtoa hoja umetia kwapani, umekimbia na hoja yako ya kuendeleza siasa za majitaka. Pole kamanda. Mbona mnababaika hivyo Uzini, sasa huko Arumeru Mashariki mtakuwaje? Au mtakimbia kama mlivyoondoka bila kuaga kule Tarime, uchaguzi mdogo wa 2008. Maana Makamba alikuwa akipiga simu kushinikiza matokeo tofauti wakati tayari yuko Mwanza on the way to Dar. Tehe tehe tehe. Magamba bwana!
 
Back
Top Bottom