A must read book...‘The Shadow World-Inside the Global Arms Trade’..pata ufisadi wa Chenge et al... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A must read book...‘The Shadow World-Inside the Global Arms Trade’..pata ufisadi wa Chenge et al...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nderingosha, Feb 13, 2012.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,544
  Likes Received: 1,317
  Trophy Points: 280
  Ukisoma hiki kitabu utashangaa ni kwanini mpaka leo hii serikali hii ya TZ imeshindwa kuwakamata Chenge na Idris Rashid na kuwasweka ndani kwa wizi wa pesa za rada na ndege ya rais.....mpaka watu wameandika kitabu juu ya ufisadi wa watu hawa!!kweli only in TZ yaani....kina Somaiya wao wamesepa lakini kina Chenge wako huru TZ huku wakionekana waheshimiwa wakubwa........


  Publisher's description:
  Reveals the corruption and the cover-ups behind weapons deals ranging from the largest in history - between the British and Saudi governments - to BAE's controversial transactions in South Africa, Tanzania and eastern Europe, and the revolving-door relationships that characterise the US Congressional-Military-Industrial Complex.

  Sources:1]
  Shadow World - Andrew Feinstein - 9780241144411
  2]
  Book gives insight into stinking radar, jet deals
   
 2. n

  nicksemu Senior Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  the citizen wamechapisha hiyo habari. Mr. chenge anadai hajakiona hicho kitabu. Ilikuwa vyema kitabu kisambazwe na wengine watafsiri kwa kiswahili ili watanzania waone dili ilivyochezwa. Hivi kwanini watanzania hatuna uchungu na mali za nchi yetu??
   
 3. n

  nicksemu Senior Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  The book alleges that massive corruption and money laundering was done by asian-tanzanian business tycoons vithlani & somaiya to sell some of the equipment to tanzania in a deal initiated by mr. Blair during his tenure at number 10 downing street.
   
Loading...