Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6,226
Reaction score
5,339
Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.

Matokeo ya mwisho haya hapa:
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Chama cha Mapinduzi[/TD]
[TD]5377[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama cha Demokrasia na maendeleo[/TD]
[TD]281[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama cha Wananchi[/TD]
[TD]223[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TADEA[/TD]
[TD]14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FFP[/TD]
[TD]8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kura zilizopigwa[/TD]
[TD]5902[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kura zilizoharibika[/TD]
[TD]28[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wasiopiga kura[/TD]
[TD]2852[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mmmh! kweli dunia hubadilika, itakuwa vyema maana kama watalichukua jimbo kiukweli tutashuhudia mengi
 
aaa wazee wa uchakachuaji ina maana hawapo huko leo? hanga over nini wamesahau kwenda
 
ChademaZenji.jpg
Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), `uzalendo` uliwashinda na kushuka kutoka kwenye magari ya chama hicho na kuamua kujiunga kucheza mziki wa `peoples power`, kwenye mkutano wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), eneo la Pagali, Uzini Zanzibar, katika kampeni za uchaguzi mdogo jana.

ChademaZenji.jpg
 
Inaongoza kivipi? kwa kura ngapi? anaemfuatia ana kura ngapi? je ZEC imethibitiha? kama majibu hayo hayapo basi wewe kaa kimya
 
we mchizi acha sound ina maana muda wa kupiga kura umekwisha isha, mi ninavyojua mwisho wa kupiga kura ni saa 10 jioni
 
this is a ****,nimewaambia chadema kule
hamshindi ila mna jitangaza zenji vizuri sasa.
 
mh this is not true bwana, matokeo yatatoka baada ya saa 10 sasa haya yamettoka wapi wakati vituo havijafungwa na process ya kuhesabu ikaanza. We need not kupotoshana mkuu
 
Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.
Hivi utajuaje kuwa wanaongoza, wakati kura bado hazajaanza kuhesabiwa? Hata mimi ningependa iwe hivyo lakin kura ni siri ya mtu. TUVUTE SUBIRA
 
CDM wanasubiri kuapishwa kwa mbunge wao tu!
Wazanzibari wameshajua CCM hawana nia njema.
Kesho bei ya bidhaa inapanda tena ni ajabu na kweli!
 
Kaka hacha mambo!uchaguzi vituo vinafungwa saa kumi,matokeo yataanza miminika jioni bhana!
 
...wanongoza kwa kushinda au kushindwa?
...hizi taarifa umezipata wapi?
...natamani washinde, ila umekuja mapema mno kutuhadaa.
 
Siyo mbaya, umesikika. Tuletee matokeo ya jumla ukikamilisha. Ukitaka kalikuleta tuambie pia.
 
Hivi utajuaje kuwa wanaongoza, wakati kura bado hazajaanza kuhesabiwa? Hata mimi ningependa iwe hivyo lakin kura ni siri ya mtu. TUVUTE SUBIRA

Mpaka saa 6 mchana zoezi la kupiga lilikuwa limekamilika,ikabidi kazi ya kuhesabu kura ianze,zaidi tulieni nitakuja na nondo full soon,chanzo changu toka Zenji kinaniandalia...sema network inazingua sana kule Uzini.
 
Bora washinde, labda itawafanya wataheshimu muungano
 
Back
Top Bottom