CUF iko wapi?

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu Cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?Niwaulize wanachama wa Cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na Hamad Rashid na kina Doyo!
 
Honeymoon
 
Dead alive!!! Usiumize kichwa mkuu

Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'
 
Wako Arumeru mashariki wanaratibu mipango ya kulitwaa jimbo hilo.Tehe!Tehe!RIP CUF a.k.a NGANGARI.
 
Cuf ngangariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,aahhh nakumbuka sana enzi hizo,sasa hivi ni zilipendwa loooooooo,may your soul rest in peace.
 
Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'

so witty...; i guess hiki chama sasa hivi kiko kwenye death row
 
Wana Jf mbona mnakuwa wachokozi? Nyie wenyewe mnakumbuka cuf alipata ajari igunga wakati wa kampeni mwaka jana na akazikwa kulekule huku alirudi mmewe mr magamba na wanae tlp. Tunafanya hitima ya cuf tarehe 13 mwezi huu pale uzini, karibuni wote tuwakumbuke ndg zetu. Ahsante.
 
Back
Top Bottom