Kafulila ni Makamu Mwenyekiti wa chama kipya cha Hamad Rashid

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa Hamad Rashid wa Kuanzisha chama chake cha Allience for Demokratic Party(ADP)zinataja safu ya Uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;-

MWENYEKITI:HAMAD RASHID
MAKAMU MWENYEKITI:KAFULILA
KATIBU;FESTUS LIMBU(Alikuwa mgombea wa CUF temeke amekubali kuwa mfuasi wa Hamad Rashid baada kupewa fedha nyingi na kuahidiwa ukatibu wa ADP
MKURUGENZI WA HABARI;HASAN DOYO(Alikuwa mwenyekiti wa CUF handeni akafukuzwa CUF)
 
CCM B kwa umbeya hamjambo
 
Ndug uweka Source ulipoipata. kwa taarifa tunajua kuwa kafulila ni Mbunge wa NCCR. Sasa na hiyo ADP imetoka wapi tena kwani inawezekana mtu kuwa na vyama vya siasa viwili kwa wakati mmoja??

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
unapokuwa unawapitisha watu ktk miba unatakaiwa kuwataarifa,ili wasije acha viatu vyao wakijuwa kuwa hawapiti ktk miba,ona sasa wanavyochomwa na miba

acha upotoshaji mkuu
 
Wanastahili kushirikiana kwani wote wamejeruhiwa na vyama vyao kwa sababu zinazofanana! wote ni vegeugeu na wasaliti wa viongozi wao!
 
Hicho chama kitadumu kweli? maana wote wanaonekana kuwa wajanja na wasukaji wa mission town, yetu macho
 
one of the best way to measure the people is to watch the way they behave when something free is offered.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
one of the best way to measure the people is to watch the way they behave when something free is offered.
Mkuu Barubaru ukitaka kujua tabia harisi ya watu weka mgao wa fedha mezani wagawiane uone undani na utu wao!!!!!!!! Hii imepikwa bado ni mbichi hailiki!!!!
 
duh. . . Chama kiongozwe na Rashid na Kafulila. Hamna ki2 hapo. . .
 
Note: Festus Limbu ni mbunge wa jimbo la magu mkoani mwanza kwa tiket ya ccm, aliyegombea ubunge temeke 2010 kupitia cuf anaitwa Lucas Limbu. Fanya hayo mabadiliko kdogo katka thread yako!
 
Umeniwahi Mkuu, kwa nyongeza tu ni kuwa Dk Festus Limbu amewahi kuwa Naibu Waziri Fedha enzi za Mkapa.
 
Kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa Hamad Rashid wa Kuanzisha chama chake cha Allience for Demokratic Party(ADP)zinataja safu ya Uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;-

MWENYEKITI:HAMAD RASHID
MAKAMU MWENYEKITI:KAFULILA
KATIBU;FESTUS LIMBU(Alikuwa mgombea wa CUF temeke amekubali kuwa mfuasi wa Hamad Rashid baada kupewa fedha nyingi na kuahidiwa ukatibu wa ADP
MKURUGENZI WA HABARI;HASAN DOYO(Alikuwa mwenyekiti wa CUF handeni akafukuzwa CUF)
kwa kawaida mwenyekiti huwa anachaguli na wanachama , hawa viongozi wamechaguliwa lini na wapi
 
Note: Festus Limbu ni mbunge wa jimbo la magu mkoani mwanza kwa tiket ya ccm, aliyegombea ubunge temeke 2010 kupitia cuf anaitwa Lucas Limbu. Fanya hayo mabadiliko kdogo katka thread yako!

Mtoa uzi arekebishe haraka taarifa hiyo.Amenishitua Festus Limbu ni naibu waziri wa fedha mstaafu wa ndugu yao mkapa.
 
Back
Top Bottom