Hii imekaaje? Mtoto wa Kigogo na Kilimo kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje? Mtoto wa Kigogo na Kilimo kwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LoyalTzCitizen, Feb 17, 2012.

 1. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wakuu poleni na kazi kwanza. Leo kuna kitu kimenisumbua kichwa yangu sana baada ya kuona hii kuhusu project ya Kilimo kwanza, cha kushangaza ktk ile pdf yao yenye orodha ya majina ya watakaokuwa au waliokuwa involved kulikuwa na categories nyingi tofauti tofauti tu, ambapo majorities ni Government officials, body directors, Big business Executives , Managing Directors and general managers, chairmens etc which to me it does make sense.

  LAKINI kilichoniua ni kuona jina la mtoto wa kigogo ktk ile list huku akiwa na tittle ambayo haiendani na wengine wote walio orodheshwa. Hivi hiyo imekaaje wakuu?

  Check it below, to view the whole list go to
  [​IMG] Pg 33 on this https://docs.google.com/viewer?a=v&q=cache:25G-FnMU98kJ:www.tnbctz.com/index2.php?option%3Dcom_docman%26task%3Ddoc_view%26gid%3D119%26Itemid%3D117+dr+medard+geho&hl=en&gl=uk&pid=bl&srcid=ADGEESgqPqq8HXKC7ZmGybzclnN6FjC-UQKGwPw-1y50ZPUXFdVQKUP5z4Sgk7D05Oytm_G5RGnt0kr7fYS94qp-o2ELZY4JHM3qzI5W46bP4aqPlynUgTUZoiCm6bEvhJgzVQE367nl&sig=AHIEtbQnt6354WkuyoykFHN7Cc1TVCMJdw
   
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Your link is too general. can you be specific?
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tafuta utamuona, i found him after half hour

  Ila mimi naamini ukishaona delegates wote hao, tayari unajua the product wont be a success or a huo ni msafara wa mamba uliokusanya kenge wengiiii lakini wanaokula wachache mno

  nimeshangaa kidogo kuona kama profile yake iko very ectopic kulinganisha na wengine waliopo
   
 5. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Kwani yupo kwenye category ipi? Uswahili ungekuwa umeshasutwa!!!
   
 6. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Yeye yupo page number 33 na jina number 10 mkuu status ni Legal adviser.
   
 7. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  You are right mkuu! you can tell, kabisa this is not right. Kweli Tz ni shamba la bibi.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,453
  Likes Received: 19,823
  Trophy Points: 280
  kilimo kwanza hakijafa tu?
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwa kuangalia hiyo listi ya hao delegates naona itakuwa tayari ishakufa duh! maana wote ni walewale, aaaahh! Mungu ibariki Tz.
  By the way hiyo listi ni ya 2009 though.
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Si ungeandika tu kwamba una mashaka na Jina la Ridhiwan Kikwete kuwemo kwenye mpango wa Kilimo Kwanza. Sasa unasumbua watu kueleza jambo kwa njia ya mzunguko kisa nini hasa. UNAOGOPA?
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona sikuelewi kwa sababu huyu kijana ni employee (Legal Officer) wa hiyo legal firm IMMA advocates, umesahau sakata la EPA nini??????

   
 12. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapana sina nidhamu ya uoga na ni kwa nini niogope kitu ambacho kipo wazi na mpaka nimetoa source na jina lipo, nadhani ni the way nimechagua kutuma ujumbe tu mkuu.
   
 13. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hiyo njia uilyoitumia ni ndefu mno na ninaomba next time usiitumie, kwani watz ni wavivu sana wa kusoma hivyo unaweza kuwaacha njiani na ujumbe unaokusudia kufikisha usifike!!
   
 14. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni CCM!
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Naona wanaotoaka Mkoa wa Kagera wote wligombea kupitia ccm katika stage fulani fulani
   
 16. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kilimo kwanza ni deal la mafisadi wala halina uhusiano wowote na kilimo cha watanzani! wanatumia mradi huu kugawana fedha za nchi!!!!
   
 17. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hivi wabunge wa upinzani ni kwa nini hawatolei macho huu mradi na kuuhoji!? au na wao wamo ngoja nihakiki listi tena! it's appalling.
   
 18. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu, nimekuelewa ila nilikusudia sana ku desplay listi ili readers wapate picha halisi kwa kuona na majina mengine na nafasi zao na hatimaye kuelewa zaidi ninachomaanisha.:poa
   
 19. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hivi humo ktk listi hakuna wafuasi wa CDM kweli! Mkuu you might be right! :shock:
   
 20. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila zama na kitabu chake!
  subiri na wewe zama zako!
   
Loading...