Hazina imekauka - pensheni za wastaafu zakatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hazina imekauka - pensheni za wastaafu zakatwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by don-oba, Feb 16, 2012.

 1. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Katika kile kinachoonekana sasa serikali imefilisika, imewakata nusu ya pensheni ya wastaafu ya mwezi February.

  Kwa mfano wastaafu wengi hupokea sh 300,000 kila baada ya miezi sita. Sasa wamepewa 150,000/=!.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kilio hiki kipo kweli. Wazee wanalalamika na hawajui nini wafanye. Serikali haitakiwi kuwachakachua wazee hawa, bora kuangalia namna nyingine lakini si kuwachakachua wazee!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  nani aliwaambia wapunguze kodi kwenye migodi.?
   
 4. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  babu yangu analalamika sana
   
 5. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Imenisikitisha sana, yani serikali imeamua kuwanyonya hata hawa wazee! Visenti vyao kidogo halafu vinakatwa, hii ni laana.
   
 6. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukiona hivyo ujue kuna safari ya nje ya Mkuu imekaribia, kwa sababu lazima aende kwa namna yoyote ile.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wazee wanalalamika hawakulipwa mafao yao,eh mwanaasha ongea na mshua-Izzo Bizne$$
   
 8. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Laki 3 kila miezi sita,imekatwa tena.Si wangejipunguzia mishahara yao?Sasa wanawakata wazee wa watu just because hakuna wa kuwakingia kifua.
   
 9. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mwanaasha ana-stress.
   
 10. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Je, babu yako hana mchango kwa yanayotokea?

  Nauliza kwani niliwaona wazee wengi wakitoka CCM Kirumba tarehe 5.2.2012 wakionesha uso wa furaha na kushangilia kwa vigelegele haya ndiyo matokeo yake
   
 11. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  halafu hata hawatoi taarifa, hii wizara imemshinda Nkulo. Nasikia bank zimegoma kuikopesha serikali kwa mara nyngne tena. Wafadhili wamegoma. Itafiki kipindi serikali itawakopa wafanyakazi wake kwa kuwakata mshahara.
   
 12. a

  adobe JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  jk na bajeti ya trilion 11 kwa akili ya kawaidi mtu huwezi ku double budget za ma trilion halaf uendeshe nchi.uchumi alosoma nadhani alibebwa chuo
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Wazee hawa hawa ndio wanaoipigia dola makofi pale diamond jubilee hall au wengine?
   
 14. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hivi hakuna chama cha wazee wastaafu?
   
 15. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  babu hajachangia hili suala kwa kuwa aliachana na ccm toka 2010
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ngoja tumpe muda kitdogo! Maana kuwa wa mwisho ni soo!!!
   
 17. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ukitaka kujua ni soo, panga mstari kuanzia namba 1 hadi mwisho. Ukigeuka nyuma huoni mwenzako. Mwalimu wangu s/m alikua akitufanya ivo.
   
 18. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamani si watoe izo ruzuku zinazopelekwa kwenye vyama vya siasa !
   
 19. MANI

  MANI Platinum Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio kwenye migodi tu! Wawekezaji wote asilimia kubwa ya mali zao wanaagiza duty free lakini wewe mlalahoi ukiagiza kamtumba kutoka japan utapangiwa bei ya kununua kama kwamba hakuna mitandao inayoonyesha bei !
   
 20. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Msihofu nasikia Mkuu wa kaya atazungumza nao Diamond leo.
   
Loading...