Dr. Slaa, mbowe mpeni baraka kamanda joshua nassari agombee arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa, mbowe mpeni baraka kamanda joshua nassari agombee arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by muleba, Feb 17, 2012.

 1. m

  muleba Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nassari ni kijana mpambanaji, asiyekata tamaa na hata ccm arumeru wanamhanya, na hakika atakuwa mshindani wa kweli, ni miongoni mwa vijana wachache tishio waliopikwa na CDM, na kwa asili ya watu wa Arumeru ni rahisi sn kumchagua mzawa kuliko mgeni. Ninavyomfahamu Joshua:
  1. Ni mzawa wa Arumeru.
  2. Ni mpambanaji asiyeogopa
  3. Vijana wengi na akina mama wanamkubali sn na ndio walimuunga mkono kwa kiasi kikubwa uchaguzi uliopita.
  4. Anajua kujenga na kucmamia hoja
  5. Anayajua vizuri matatizo na kero za Arumeru.
  6. Arumeru wanamuita mbunge aliyechakachuliwa.
  ....Naomba kuwasilisha..
   
 2. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli CDM wanapaswa kumsimamisha Joshua Nassari na kumpa ushirikiano mkubwa kwenye hilo jimbo. Dr Slaa bado ana kazi kubwa ya kukijenga chama wakati huu tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Kwenye uchaguzi wa 2010, wabunge wengi wa CCM walipita bila kupingwa na hii ilisababisha pia kura nyingi za Rais kuchakachuliwa. CDM wasipokuwa makini hali hii itajitokeza tena 2015. Kwahiyo kazi ya Dr Slaa ni kufanya uimarishaji mkubwa wa chama kwenye maeneo hayo ambayo wabunge wengi wa CCM walipita unopposed kama vile Mufindi kaskazini na kusini, Njombe kwa Bibi Mkora Makinda, Dodoma, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani etc
   
Loading...