Adhabu ya kuiba dola 60,000,000 eti kujiuzulu tena kwenye nchi ombaomba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adhabu ya kuiba dola 60,000,000 eti kujiuzulu tena kwenye nchi ombaomba!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Feb 17, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mawaziri wawili nchini Uganda walipata adhabu ya kuachia uwaziri kwa kugundulika kupoteza zaidi ya dola 60,000,000. Mungu akupe nini katika nchi ya wapumbavu kama hii? Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hii ingefaa sana kupostiwa kule tunakozungumza sana lugha ya kigeni sheikhe
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wajinga ndio wali wao.
   
 4. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Africa yetu!!!
   
 5. m

  mharakati JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Uganda inaongoza kwa ufisadi sasa hivi EAC, TZ ya pili, Kenya wamekua vigilent wamedrop hadi no 4, baada ya Burundi....kuna waziri mmoja wa Afya Uganda aliiba hela yote ya madawa ya misaada ya HIV na alipobanwa kujiuzulu akajibu kijeuri kuwa alipigana vita msituni na mu7 kwa hiyo kwa aina fulani ana haki ya kukwapua hizo funds...Africa sijui nani anaipenda imaonekana hata mungu haipendi baada ya utumwa, wakaja wakoloni baada yao sasa tuna makatili wazawa wasiojali wanachuma na kikinuka wananyanyuka kuishi Cape town, London, Paris n.k
   
 6. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Like Uganda like Tanzania.
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kuachia ngazi ni hatua ya kwanza,
  Hatua ya pili ni kuchunguza kupata ushahidi kisha wafikishwe mahakamani.

  Wapeni pumzi muone mwisho wao.

   
Loading...