Bodi ya mipango iundwe kuzibiti ufujaji na mipango holela ktk halmashauri zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mipango iundwe kuzibiti ufujaji na mipango holela ktk halmashauri zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHIMPONGO, Feb 17, 2012.

 1. C

  CHIMPONGO Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni wakati sasa Tanzania kufikiria na kuanzisha chombo kitacho ratibu na kusimamia shughuri za mipango ya maendeleo ktk halmashauri na taasisi mbalimbali. kwa kuzingati uwepo wa chuo cha mipango -Dodoma na taasisi nyingine zinazalisha wataalamu ambao aidha hawapati nafasi au wanatumia nafasi zao isivyo ndio maana tumekuwa na mipango holela na dhaifu ktk kufikia adhima ya maendeleo ktk ngazi mbalimbali.
  Ni uwepo wa chombo/bodi ya mipango ambapo mipango yetu ya kimaendeleo yaweza kupangwa na kuratibiwa vema ktk muda mrefu,wa kati na mfupi hivyo kuondokana na mfumo wa kuendesha shughuli zetu kisiasa.
   
Loading...