Ndugu zanguni naomba tujadili aina hii ya ukoloni mambo sasa[CONTEMPARARY COLONIALISM].Mara nyingi ni ukoloni unaofanywa na watawala wanao ongoza nchi baada ya ukoloni kutoka nje yaani wakoloni ni...
Wanajamii, machungu zaidi Tanesco kwani Mahakama ya rufaa imetupilia mbali pingamizi la Tanesco. Hii ina maana kuwa Tanesco lazima walipe bil 104 na ushehe!
Kufungua kampuni Rwanda ni Bure/FREE (ukifanya online)
Wameweka muda wa kusubiri kwenye foleni maximum ni dakika 25...halafu wamepiga na hesabu hatua zako za miguu ukitembea hivyo usipate longo...
Nimepitia Visa application form ya Tanzania inayotolewa na ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza nimebaini kuwa Form hiyo haina ubora unaotakiwa (kama ilivyojadiliwa kwenye thread mojawapo). Aidha...
RAIS Jakaya Kikwete ametakiwa kutoa kauli dhidi ya ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, baada ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba na Waziri wa...
WAJUMBE watatu wa Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa wa CUF, wamejiuzulu uongozi na kujivua uanachama huku wakitoa tuhuma kuu sita ambazo zimesababisha kuchukua uamuzi huo.
Tuhuma hizo ni chama...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema haogopi kupelekwa mahakamani kutokana na kutamka kuwa Dk Harrison Mwakyembe amelishwa sumu, kwak sababu ana ushahidi wa kutosha...
Hivi nawauliza watanzania ni chama kipi kati hivi vya siasa tulivyonavyo kitatusaidia kupiga atua kiuchumi ama ni siasa zipi zinazotufaa sisi ili zitusaidie kutoka hatua moja hadi nyingine?
MBEKIS NEW MISSION FOR AFRICAN RESOURCES
Mel Frykberg
Former South African president Thabo Mbeki has been given the responsibility of leading a high-level team to stem the illegal...
CHAMA Cha Kijamii (CCK), kipya, kimeingia kwenye ulingo wa siasa mara baada ya kupata usajili wa kudumu mwanzoni mwa mwaka huu, na kufanya orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu...
Wengi wetu hatujui kama Rais wa Marekani Barack Husein Obama ana PHD, lakini hata siku moja hutakuta vyombo vya habari au taarifa ye yote inayosema Rais wa Marekani Dr. Barack Obama. Dr. haina...
Ndugu Wapenzi, Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na watanzania kwa ujumla. Japo mimi sio msemaji wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Taifa, nimeagizwa na Katibu wa...
Hatimaye Mtukufu Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete amefungua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo kule arumeru safari hii akianzia jirani na baadaye kumalizia penyewe kama alivyofanya kule Igunga kwa kutoa...
je turufu ya chadema katika jimbo la arumeru mashariki iko wapi?ni swali ninalojiuliza sasahivi bila kujali mimi ni mpenzi wa chama gani.wazee ni wengi na wanaheshimika katika jimbo hili.chadema...
Kuna habari za kashfa kubwa inayonukia katika Jeshi la Magereza inayohusiana na forgery - details bado haziko wazi sana - na kesi inachungzwa kituo cha Polisi Oysterbay. Details zinakuja taratibu...
UN, imeunda jopo la watalaamu na wanasiasa maarufu kufanya uchunguzi wa kina juu ya utajiri wa AFRICA usioinufaisha AFRICA, bali ULAYA.
Taarifa ya UN ya awali inasema, AFRICA inapokea dolar...
The director of the Tanzania Media Women's Association (Tamwa), Ananilea Nkya, was arrested early today in Dar es Salaam.
She was detained along with several activists and journalists during a...
Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA,baada ya Mzee Edwin Mtei,Mohamed Makani(Bob Makani) amelazwa katika Hospitali ya Aghakan.Mwenye taarifa juu ya kinachomsibu Kamanda huyu...
WABUNGE machachari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Zitto Kabwe na John Mnyika, wamesema ni wakati muafaka kwa Watanzania kutafakati namna ya kuipumzisha CCM katika uongozi wa nchi...
Naibu katibu mkuu wa CUF Mtatiro ameongea na waandishi na kutangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo wa Arumeru mashari kwa sababu kwamba wanautaratibu wa kutoshiriki uchaguzi mdogo ambapo walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.