Turufu ya CHADEMA Arumeru Mashariki

Turufu ya CHADEMA Arumeru Mashariki

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
je turufu ya chadema katika jimbo la arumeru mashariki iko wapi?ni swali ninalojiuliza sasahivi bila kujali mimi ni mpenzi wa chama gani.wazee ni wengi na wanaheshimika katika jimbo hili.chadema wana mwanaharakati aliyepigwa risasi kutoka kitongoji cha usa ndani ya jimbo hilo,je hii ni turufu yao?wanawake ni asilimia 49+ je watatumia wingi wa wanaume?wameru wengi ni wapenda dini(uinjilisti)je chadema wameaandaa muokovu?wakuu tufanye analysis ili kujua nani ataibuka mshindi katika jimbo hili.
Nawasilisha...
 
Chadema watatumia acid kama kawizzzz

Wanaotumia acid ni nyinyi MCC wenyewe. Kama kweli CDM ndio walitumia acid usalama wa taifa na jeshi la polisi wangewakata wahusika. Huu ni mchezo mchafu mliouzoea lakini karibia utafika mwisho.
 
hivi we ni mwanamke au Shemale???

mkuu demu huyo, tena ana mashauzi usiombe, kina lizzy walishawahi 'kuzaa' naye humu mbona palichimbika mwenyewe anajua kwa issue gani.
 
hoja nzuri imeharibiwa na element za udini tu. CDM nyie endeleeni kukaa kimya na kulalamika wakati magamba yameshaingia huko na fedha. chukueni hatua sasa kwa kuwaumbua hao wahongaji. Humu JF hakuna wapiga kura nendeni Arumeru huku ziwe ni taarifa tu!
 
cxm kwisha habari yao hakuna cha karata wala bao huku si igunga wala uasherati huku ni R,CHUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUGA.
 
hebu tujadili hoja tuache ushabiki.
 
Chadema watatumia acid kama kawizzzz

We mpakatwa mapajani nyamaza.
Yule ambae ccm ilimwagia acid igunga yupo "area c" pale mjini dodoma anakufa taratibu,
C cm muwe na huruma.

Chama gani cha upinzani kipo tayari kumuua mpiga kura wake?

CCM IMEISHA WAMEBAKIA WAHUNI.
 
cuf na nccr wakiwaunga mkono chadema itakuwa ni advantage kwa cdm.
 
Analysis haieleweki..na ina onekana ni uharo fulani hivi.
 
Lowassa akiongoza tu kampeni za CCM, CDM inakula kwao!
 
Analysis haieleweki..na ina onekana ni uharo fulani hivi.

weka ya kwako ambayo sio ..........hasira za nini mkuu?shusha analysis inayoeleweka kwani kwa upeo wangu mdogo hiki ndicho nilichokiona.
 
Back
Top Bottom