Bavicha Kuhamia Ofisi zake Mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bavicha Kuhamia Ofisi zake Mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dickson Ng'hily, Feb 20, 2012.

 1. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Ndugu Wapenzi, Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na watanzania kwa ujumla. Japo mimi sio msemaji wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Taifa, nimeagizwa na Katibu wa BAVICHA Taifa Mh. Deogratias Siale, kukujulisheni kuwa siku ya Jumatano 22nd Feb 2012, BAVICHA watahamia katika ofisi zao mpya pale mtaa wa Togo Opp na Kinondoni Police Station...

  Nyote mnakaribishwa sana kuzitembelea ofisi hizi na kupata nafasi ya kuzungumza na viongozi wa BAVICHA mambo kadha wa kadha yatakayo saidia katika kuleta mabadiliko katika taifa letu. Hili linawezekana kwa kuwa sote kwa pamoja tunaamini kuwa Sababu ya kujiletea Mabadiliko Tunayo, Nia Tunayo na Uwezo pia Tunao. Hebu kwa pamoja tushikamane, na kwa hakika INAWEZEKANA...

  INAWEZEKANA...Inawezekana tukajiondoa katika utawala huu dharimu usiojali na usiokuwa na suruhuisho la matatizo ya Watanzania...Inawezekana tukasimama kwa pamoja na kusema IMETOSHA...IMETOSHA kuonewa, IMETOSHA kutosikilizwa, IMETOSHA kupuuzwa na Imetosha kudhalauliwa tena katika aridhi yetu wenyewe na mbaya zaidi na watanzania wenzetu...

  Hebu na tuilejeshe ila ndoto ya waasisi wetu, na hili linawezekana...Linawezekana kwa kuwa tumeishaonyesha nia yetu. Kinachotakiwa ni kusimama kidete na kwa pamoja tuupinge huu uonevu, kwa pamoja tuupinge huu unyanyasaji, kwa pamoja tuupinge huu udhalilishaji unaofanywa na watawala wetu....Ndugu zangu inawezekana, nakumbuka kuna wakati nimekuwa nikimnukuu mwalimu Nyerere katika moja ya hotuba zake na hasa ile ya Mei Mosi kule Mbeya, alisema;

  "Moja ya sifa za kiongozi au yule anayetaka kuchaguliwa kuwa diwani, mbunge ama rais; ni lazima kwanza ayajue matatizo ya watanzania ama wale watu anaotaka kuwaongoza. Lakini si kuyajua tu ila pia aumie kama watu wake wanavyoumia juu ya matatizo hayo lakini pia awe na suluhisho la matatizo hayo"....CDM tunayajua matatizo ya Watanzania, CDM tunauchungu na tunaumwa kama wananchi wanavyouma na CDM tuna mbinu na suluhisho la matatizo hayo, tunamba mtuunge mkono....

  Narudia tena kusema mnakaribishwa sana kutembelea ofisi hizi mpya za bavicha na kuonana na watendaji wake...ALUTA CONTINUA ..............Tunatanguliza Shukrani Zetu za Dhati na Mwenyezi Mungu Awabariki Sana.

  Mungu Ibariki Bavicha..
  Mungu Ibariki CDM...
  Mungu Ibariki Tanzania...
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hongereni sana bavicha.
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Well done!
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Safi sana
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kinondoni kama mateja? Jipanueni sake mahala m bali
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,549
  Trophy Points: 280
  hongera zenu Bavicha hayo ndo mambo ambayo tunataka kuyasikia.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,549
  Trophy Points: 280
  Masikini unasikitisha....:help:
   
 8. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Safi sana na hakika ni faraja kubwa kusikia hbr njema hizi
   
 9. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Good move
   
 10. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwanini asije mwenyewe katibu au mr chair acha kimbele mbele
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mbali ukiwa unatokea wapi.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mkuu jenga Chama temeke. tumia hii nafasi ya Cuf kusambaratika Temeke kujijenga kisiasa. umekaa kimya sana. Kurasini hawana Hospital wala maji lakini unashindwa kutetea wakazi wako, wamebomolewa umekaa kimya. jenga chama, fungua matawi, wezesha matawi, Unganisha vijana. Upo wapi mbona temeke huonekani mkuu Ng'hily? tunataka 2015 uichukue temeke so Changamka.
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  swali la kujiuliza,ni jengo la chama au bado tunapanga?
   
 14. T

  Tafadhali Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha utashaa!Bavicha kanyaga twende
   
 15. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Ndugu yangu kiboko Yenu, kimbele mbele ni kizuri kuliko kinyume nyume...Soma vizuri post, nimesema nimeagizwa na nimetii na kufanya kazi niliyoagizwa...Au ulikuwa unalingine ndugu yangu...Tehe tehe tehe...

   
 16. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Kaka kuja temeke sio kwamba mpaka nitangaze kuwa nimekuja...Au kuwatetea wana temeke sio lazima nitangaze nimewatetea...Kazi kazi zangu ni underground ila wakazi wa Temeke wanazijua...Na kwa wiki karibia tatu niko Mtoni uliza na utaambiwa ndugu yangu...Afu sio lazima niwe mimi mbunge coz wanachama ndo waamuzi...
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180


  Fanya kazi watu waone. Jenga chama fungua matawi tandika, mikoroshini, nzasa, mbagala kuu, kijichi, charambe nk.
   
 18. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana
   
 19. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  una majibu machafu sana,ndugu yangu hatuendi hivyo,kama kiongozi lazina uwasikilize wanachama wako na kupokea maoni yao hata kama huyataki mana bili wao wewe si kitu.
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  majibu yake huwa yanamletea matatizo sana. kuna siku dr.slaa alimpa dakika3 asalimie wananchi mpale mwembe yanga. yaani stasahau, alilala selo siku hiyo na akaambiwa awe anareport baada ya kuachiwa. mara ooh..polisi wananionea sababu nipo CDM. inabidi CDM wamfundishe lugha ya kisiasa.
   
Loading...