GreaThinkers,
Kuna Tetesi ya kutolewa hadharani matokeo ya Uchaguzi 2010 visiwani ambapo kwa tetesi zilizoenea mdogo mdogo ni kuwa Maalim(CUF) alimshinda Shein(CCM) kwa tofaouti ya kura...
Hatimaye mtoto wa Sumari (RIP) amechaguliwa na chama chake kupeperusha bendera ya CCM.
Matokeo Arumeru Mashariki (CCM):
Sarakikya 259
Sioi Sumari 361
Elishilia Kaaya 176
Anthony Musami 22...
CCM Arumeru waanza kuvurugana
Send to a friend
SIKU moja baada ya wanachama wa CCM, Jimbo la Arumeru Mashariki kumpendekeza Sioi Sumari kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo...
Huu ni ujumbe alio uandika mwenyekiti wa CDM Arusha kwenda kwa nape,......
Kuna haja ya kuwepo kwa tambo zote hizi hadi za kuoneshana mabavu ya
jinsi mnavo weza kupigana?
LEO naomba...
Ndugu wana JF;
Wakati tunapata Uhuru Tanganyika 1961 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Tulipoanzisha Azimio la Arusha 1967 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na...
Raisi wetu amewasadia sana watanzania kiuchumi na kimichezo
na mengine mengi. Lakini kumekuwa na mnunguniko kuwa Raisi
wetu ameshidwa kuwasadia watanzania wa hali ya chini.
Wewe kama mwanaJF...
Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.
Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera...
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imemruka Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba, na kumtaka aeleze alikoipata taarifa aliyoitoa hivi karibuni kuwa ugonjwa wa Naibu Waziri wa...
Najiuliza
Serikali inatumia nguvu na gharama kubwa kule mabwepande .yaani ni kama kuna UN operation ya refugees
Magari ya jeshi yanapishana kuweka mahema na kupeleka maji safi
mabomba yanavutwa...
Edward Lowassa amepata umaarufu kwa kumwaga mapesa kwenye miradi mbali mbali hasa makanisani. Ajabu kuna wale wanaoitwa ndugu zake-wamasai, ambao hawasaidii! Je anachofanya Lowassa hakikaribii...
Jussa:Chadema wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu uzini.
Na Ismail Jussa
Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa...
wapatanishi ni nchimbi na lisu,.sugu na ruge wamesema ni kwa maslahi ya wasanii..lisu na sugu wakiiwakilisha cdm na nchimbi na ruge wakiwakiiwakilisha ccm
Wadau: baada ya sakata la Arusha, wengi wanasema kuwa kukubalika kwa CCM mjini humo umezidi kushuka sana kiasi kwamba uchaguzi ukifanyika siku yoyote kuanzia leo CCM inaweza ikaambulia si zaidi ya...
Mara kwa mara 2mekuwa 2kisikia malumbano kuhusu posho, na wananchi 2mekuwa wasikilizaji wakubwa nakubaki kuwalalamikia hawa wala posho. mi ninachotaka kufahamu ndugu wana jf kigugumizi kipo wapi...
ulivyomlaghai kakobe ukasubiri amepanda madhabahuni ukawaita waandishi na kuwapa bahasha ndo linalokutokea puani. sasa wanajamii humu ni hivi waya za umeme zimepita pale kwa kakobe lakini umeme...
kwanini nhc wasiende kujenga mabwepande
wanajamii forum naomba mnisaidie kitu kitu kinachonikera nikipita kwenye nyumba za nhc ambazo zilijengwa kwa utaratibu mzuri wa kuwepo maeneo ya kuchezea...
Nimekumbuka kuwa mmoja ya Ahadi za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini kupitia CHADEMA ilikuwa ni kulinda Ardhi ya wananchi wa Singida kutoporwa na kampuni ya Kifisadi ya Wind East Africa...
Akijibu hoja hiyo, kamishina wa NEC Profesa Chaligha alisema,"Kuhusu uandikishaji mpya wa wapigakura alisema jambo hilo haliwezekani kwa sasa na kusisitiza kuwa watakaoruhusiwa kupiga kura ni wale...
Wana JF salaam.
Ninashangazwa sana na mwenendo mzima wa mahakama zetu hapa nchini. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, kesi nyingi za kupinga matokeo zilifunguliwa. Wagombea kupitia CHADEMA...
Tumekuwa 'bila mbunge' muda mrefu sisi wakazi wa meru_Tukumbushane:TALALA MBISE =kazi yake kubwa ni jusinzia bungeni miaka ya 90. JERY SUMARY:alipewa na Lowassa kiukwe na kupewa unaibu wizara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.