TANESCO wabwagwa na Dowans mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO wabwagwa na Dowans mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Officer2009, Feb 20, 2012.

 1. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wanajamii, machungu zaidi Tanesco kwani Mahakama ya rufaa imetupilia mbali pingamizi la Tanesco. Hii ina maana kuwa Tanesco lazima walipe bil 104 na ushehe!
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Duh,ndio maana walipandisha bei za umeme,leo nimenunua umeme kwa tsh 277.7 per unit
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huo ndio utawala wa MAFISADI unavyoweza ukatutemea mate usoni sisi walipakodi wa nchi hii; DOWANS eti kushinda kesi chini ya serikali hii ya wamiliki wake wanaoitafuna taifa bila huruma - my foot!!!!!!!!!!!!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tutaona nguvu ya umma Vs Mahakama nani atashinda? Kiukweli hii kitu sitaki kuisikia.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yote haya chanzo chake 6,Mwakyembe na JK mwenyewe.Nawachukia hao
   
 6. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni watanzania ili tusilipe hilo deni tuwape chadema nafasi waongoze nchi.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani Dowans wameshinda leo kesi? Wameshinda toka mahakama ya kimataifa ya biashara. Makanjanja wa sheria ndio walikuwa wanachelewesha malipo kwa Dowans kwa kujidai kuweka pingamizi.

  1) Kesi wameshinda.

  2) Sasa hivi watalipwa zaidi ya walivyoshinda mwanzo, kwani kuna interests zinaongezeka.

  3) Kuna uwezekano mkubwa sasa wa waliopeleka pingamizi kutakiwa walipe gharama za kesi.

  4) Mitambo inalipiwa bila kutumika ipasavyo.

  5) Mitambo imeuzwa kwa symbion, faida nyingine kwa Dowans.

  6) Mitambo inatumika hapa hapa kinyume na alivyotaka Mwakyembe.

  7) Mwakyembe laana ya uongo na mateso aliyowaingiza Watanzania kwa uchu wake sasa inamwandama na inamtesa. Anasingizia kawekewa sumu.

  Mtu kama Mwakyembe kwa kuzuwa mambo kama haya ambayo yanawaathiri watu wengi. Laana yake huwa hafi hupesi na atateseka maisha yake, atatamani kufa asipate. Hiyo inayomsibu ni laana ya kuwaongezea mzigo Watanzania.

  Sitta nae angoje asilimia zake za hiyo laana.
   
 8. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Hongereni Dowans.Sasa tusubirieni wananchi mtusikie tutakavyotoa hukumu yetu na sisi...
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  TANESCO wameshida pingamizi Lao la kukata rufaaa! Maana yake wanaweza pinga hukumu ya dowans. Mbona mnamislead?
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sipo tayari hata tone kuona utawala wa MAFISADI ukitamalaki kwa visingizio vya aina hii kwa kupenyezewa 'uhalali' wowote ule kwa kupitishwa kwenye mahakama zetu zilizojaa walarushwa na kuelekezwa kwa rimoti kama ma-robot toka Ikulu Magogoni.

  Nasema sipo tayari hata kidogo kuona ushindi wa MAFISADI dhidi ya umma wa nchi hii ... tutaonana wabaya kwa mtu yeyote kutamani kuhalalisha kampuni ya kitapeli kuchota rasilmali zetu za taifa ili ionekane Dr Mwakyembe naye kashindwa na tume yake yote kule bungeni.

  Dr Kikwete, hili la DOWANS hapana!!!!!!!!!!!!!!!


   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe unaijuwa hukumu kuliko wanasheria wa mahakama ya biashara ya dunia?

  Tayari Mwakyembe kisha anza kutumikia hukumu kwa kuwadhulumu Watanzania. Dhuilma huanza kulipwa duniani.
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  TANESCO na DOWANS/RICHMOND ni kitu kimoja.
  Mwanasheria wa Tanesco anaishauri shirika kuvunja mkataba, alaf huyo huyo ndo anaitetea kwenye kesi na huyohuyo anaweka pingamizi kortini.
  This is well orchestrated theft bila guns
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kikwete utamuonea bure. Hukumu ilitolewa na Mahakama ya Kimataifan hizi zinazoongelewa sasa ni pingamizi tu za malipo.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sio kweli.
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli
   
 16. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,171
  Trophy Points: 280
  Sheria hivi zinamapungufu au? ndio maana sikusomea Sheria nigegeuka Amitha katika Andha Kanoon! huyu Mwizi wetu atakuwa ni kiongozi mkuu... Haiwezekani kitu kama hiki nchi ya Sheria hii... Kampuni feki kushinda kesi... Hatuna Mkuu wa Nchi..

  Nchi inahitaji Ukombozi hii Amkeni Watanzania..

  CCM Niliyokuwa naifahamu ni ile ya Piga piga Wezi nawadhurumaji ah ah CCM shika hatamu
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  DOWANS yake mahakama yake uonevu unatoka wapi?
   
 18. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mkuu, wewe source yako ni ipi? Wewe ndo unapotosha ukweli. Mi source yangu ni TBC saa mbili usiku wa leo.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huwa siangalii TBC! Nilichoandika kimesemwa na ITV Gondwe msomaji
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Badala ya kumlaumu Mwakyembe mbona lawama hizo huzielekezi kwa Kikwete na Rostum ambao ndio benefactors wa hiyo Dowans? Richmond, kama alivyosema Lowassa kwenye kikao cha NEC Dodoma na Kikwete hakusuta, ilikuwa ya maslahi kwa Kikwete. Kama walivyotufisidi kwenye EPA, ndivyo hivyo hivyo mafisadi hawa walivyotufisidi kwenye Richmond/Dowans/Symbion. Hivi itakuwaje kama tukikataa kulipa?
   
Loading...