Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Hatimaye Mtukufu Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete amefungua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo kule arumeru safari hii akianzia jirani na baadaye kumalizia penyewe kama alivyofanya kule Igunga kwa kutoa chakula kwa wale walioachwa na njaa kwa muda mrefu na hatimaye wananchi wakaona hakuna kama ccm hawa chadema wanapiga kelele tuu hawaleti chakula wala ngombe kama mkulu.
Sasa wananchi wamegundua ili kutatua matatizo ya barabara na miundo mbinu nyingi vijijini ni kulazimisha chaguzi ndogondogo ndio suluhisho la matatizo.
Nawasilisha.
Hint:MPENDE ADUI YAKO.
Sasa wananchi wamegundua ili kutatua matatizo ya barabara na miundo mbinu nyingi vijijini ni kulazimisha chaguzi ndogondogo ndio suluhisho la matatizo.
Nawasilisha.
Hint:MPENDE ADUI YAKO.