KIKWETE-Rais wetu, UN wanakusaidia kufikiri

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,904
6,904
UN, imeunda jopo la watalaamu na wanasiasa maarufu kufanya uchunguzi wa kina juu ya utajiri wa AFRICA usioinufaisha AFRICA, bali ULAYA.

Taarifa ya UN ya awali inasema, AFRICA inapokea dolar billion 25 kama msaada lakini madini na rasilimali za AFRICA zinazopelekwa ULAYA, ni zaidi ya dollor bilion 50.

Jopo hilo, limejuisha mwanasiasa maarufu wa Africa kusini Thabo Mbeki, ndiye mweusi pekee aliyeteuliwa na UN kufanya utafiti huo.

SOURCE: BBC SWAHILI, habari ya 06:00hrs

Swali langu ni kwa viongozi wetu hasa rais wetu anayeamini kwenda nje, ni kutaufta misaada. Je anajifikiriaje kwa msimamo wa UN?
Washauri wake na wataeule wake, wamefanya nini kuiendeleza Tanzania iache kuwa ombaomba na kuwa na uchumi unaojitosheleza?
CCM, nini mnajivunia mmewafanyia watanzania kwa miaka 36 mliyokaa madarakani na kuuza utajiri wetu nje ya nchi mpaka UN inawashtukia?
 
inauma sana, lakini sijui tutafanyaje mana ukitaka kuleta mabadiliko wanakuzima mara moja kama mshumaa. lakini umoja ni nguvu tukiamua pamoja tunaweza. inauma kweli
 
inauma sana, lakini sijui tutafanyaje mana ukitaka kuleta mabadiliko wanakuzima mara moja kama mshumaa. lakini umoja ni nguvu tukiamua pamoja tunaweza. inauma kweli

kweli umoja ni nguvu, sema ndugu zako umoja huu hawataki kuuzungumzia. akina mama
 
UN, imeunda jopo la watalaamu na wanasiasa maarufu kufanya uchunguzi wa kina juu ya utajiri wa AFRICA usioinufaisha AFRICA, bali ULAYA.

Taarifa ya UN ya awali inasema, AFRICA inapokea dolar billion 25 kama msaada lakini madini na rasilimali za AFRICA zinazopelekwa ULAYA, ni zaidi ya dollor bilion 50.

Jopo hilo, limejuisha mwanasiasa maarufu wa Africa kusini Thabo Mbeki, ndiye mweusi pekee aliyeteuliwa na UN kufanya utafiti huo.

SOURCE: BBC SWAHILI, habari ya 06:00hrs

Swali langu ni kwa viongozi wetu hasa rais wetu anayeamini kwenda nje, ni kutaufta misaada. Je anajifikiriaje kwa msimamo wa UN?
Washauri wake na wataeule wake, wamefanya nini kuiendeleza Tanzania iache kuwa ombaomba na kuwa na uchumi unaojitosheleza?
CCM, nini mnajivunia mmewafanyia watanzania kwa miaka 36 mliyokaa madarakani na kuuza utajiri wetu nje ya nchi mpaka UN inawashtukia?

hii kitu nzuri lakini huo mchanganuo wangeutoa kwa kila nchi
 
Hatupendi kuumiza vichwa, tunataka ndoto za lala masikini, amka tajiri.
Ndo maana hatuishi kwenda kwa karumanzira na ngozi za albino.
 
An initiative is superb, may be there'll be a stop to massive exodus of our resources; but there'll be willful cooperation from the countries like Tz's authorities who failed to prosecute the radar scam culprits and EPA thieves!
 
Ndio maana nasemaga wazungu huwa hawatupi msaada ila wanarudisha walichoiba toka enzi za ukoloni mpaka sasa
 
hii kitu nzuri lakini huo mchanganuo wangeutoa kwa kila nchi
NADHANI MALENGO YAO NI KUPITA KILA NCHI YENYE EXPORT YA KUTOSHA LAKINI PATO LA TAIFA NI HOHE HAHE. TANZANIA TUKO KUNDI HILI, KWA EXPORT INAYOFANYWA HASA KATIKA VITO VYA THAMANI, NI WAZI KAMA ZINGERATIBIA NA KUZIFANYA ZIWE NUSUNUSU, UCHUMI WETU UNGEKUWA IMARA.

NAUKUMBUKA UJUMBE HUU AMBAO, MZALENDO AKIUSOMA, ANWEZA KULIA.

[h=3]My Notes[/h]

  • GEITA GOLD MINE, MGODI MMOJA UWEZAO KUENDESHA BAJETI YA TZ.
    Tuesday, August 23, 2011
    Kwa kila Jumanne na Alhamisi tofali za dhahabu zenye ukubwa wa tofali la kuchoma na uzito wa gramu 12000 zipatazo 400 husafirishwa kwenda nje ya nchi, Hebu jiulize Gramu 1 ya dhahabu huuzwa Tsh 65,000. Je ni kiasi gani cha fedha kinakwenda nje na je kinaweza kukidhi bajeti yetu? Pigeni hesabu kisha mnijulishe...! Je hii pesa haiweza kutuokoa na...

    View Full Note · Like ·

  • MADINI YETU, KWA NINI WAFAIDI WAGENI NA MAFISADI WACHACHE?
    Friday, August 19, 2011
    Kwa kila Jumanne na Alhamisi tofali za dhahabu zenye ukubwa wa tofali la kuchoma na uzito wa gramu 12000 zipatazo 400 husafirishwa kwenda nje ya nchi, Hebu jiulize Gramu 1 ya dhahabu huuzwa Tsh 65,000. Je ni kiasi gani cha fedha kinakwenda nje na je kinaweza kukidhi bajeti yetu? Pigeni hesabu kisha mnijulishe...! Je hii pesa haiweza kutuokoa na u-o...

hapa si suala la kumlaumu mtu mmoja au kikwete kama rais,hili ni suala la waafrika wote ukiwamo wewe.

wewe umeifanyia nini tanzania na afrika kwa ujumla zaidi ya kulalamika tu hapa????????????????

kama ungekuwa na akili ungekuja na majibu baada kuwa umefanya utafiti wa kisayansi ili utusaidie,na kumsaidia huyo rais,kwa style ulokuja nayo umejiingiza katika kundi la walalamikaji.
 
kulalamika ni hatua ya kwanza, ya pili iko njiani. ila wapingaji kama wewe mnaofaidika na ufisadi lazima mkae pemben as if haiwahusu, na kweli haiwahusu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom