Bob Makani alazwa Aghakan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bob Makani alazwa Aghakan

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 19, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA,baada ya Mzee Edwin Mtei,Mohamed Makani(Bob Makani) amelazwa katika Hospitali ya Aghakan.Mwenye taarifa juu ya kinachomsibu Kamanda huyu atujuze.Nitakwenda pale kesho kumtakia pole Mzee wetu huyu.Get well soon Kamanda!
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...Wewe ndio ungepaswa kutupatia full news mkuu,vinginevyo ngoja tusubiri.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Get well soon mpambanaji
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ugua pole mzee.
  OTIS
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Get well our comrade
   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona hueleweki?? Mana meno yamekutoka, ukicheka hatujui ukilia hatujui...inaonekana una info halafu unataka sisi tutoe taarifa..*sigh* kwanza nieleze KUNA uhusiano gani kati ya Mohammed makani na Bob maana sikuwahi kujua kama anaitwa Mudy..

  Umesema kuna taarifa..ukaomba mwenye taarifa halafu uka conclude as if una uhakika na chanzo chako cha habari...
   
 7. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Huu mwaka mbona umekuwa mbaya sana kwa wanasiasa?
   
 8. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ni hivi Mkuu: mimi najua kuwa Kamanda amelazwa Aghakan ila bado sijui anasumbuliwa na tatizo gani.Lazima niwe mkweli.Kuhusu Mohamed na Bob ni kuwa Kamanda alibadili jina kisheria na kuitwa Bob kutoka Mohamed.Ni hayo tu Mkuu.
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mzee Bob Nyanga Makani ni mpambanaji kweli huyu. Nakumbuka siku moja ambapo nilishiriki maandamano naye wakati ndio kwanza vyama vingi vimeanzishwa hapa nchini, mzee alikuwa na munkari na alikuwa mhamasishaji mzuri. Mungu amjaalie apate nafuu mapema.
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Get wel soon commander
   
 11. M

  MALAGASHIMBA Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Duh,Mungu amponye huyu mzee,ni mpambanaji sana tangu 2002.
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mungu amjalie apone,, ni kati ya wapambanaji ninaowakubali sana alikuwa ni mzuri sana kwa kujenga hoja CDM hawamsahau ni mmoja wa watu waliyoifikisha CDM hapo ilipo.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umri umekwenda Mzee Makani, nakumbuka mwaka 1992 ulinipatia kadi ya CHADEMA mjini shinyanga. Ugua pole Mungu akuponye haraka
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Rev na wewe pia naona 45 umepita sasa...!

  Ugua Pole Mzee Bob Makani...
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ugua pole Mzee Makani.
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ugua pole mzee Makani...
   
 17. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Jembe letu ,get well soon !
   
 18. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Jembe Bob M. ,get well soon !
   
 19. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu amjalie afya njema kwani bado tunamhitaji.
   
 20. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Get well Starring
   
Loading...